Jifunze Kiitaliano :: Somo la 81 Kuzunguka mji
Misamiati ya Kiitaliano
Unatamkaje kwa Kiitaliano Mlango wa kutoka; Mlango wa kuingia; Choo kiko wapi?; Kituo cha basi kipo wapi?; Ni sehemu gani ijayo ya kusimama?; Je, hii ni sehemu yangu ya kushuka?; Samahani, nahitaji kushukia hapa; Jumba la makumbusho liko wapi?; Je, kuna malipo ya kiingilio?; Duka la dawa liko wapi?; Mgahawa mzuri uko wapi?; Je, kuna duka la dawa karibu?; Je, mnauza magazeti katika Kiingereza?; Sinema inaanza saa ngapi?; Ninataka tiketi nne tafadhali; Je, filamu iko kwa Kiingereza?;
1/16
Mlango wa kutoka
© Copyright LingoHut.com 725443
Uscita
Rudia kwa sauti
2/16
Mlango wa kuingia
© Copyright LingoHut.com 725443
Entrata
Rudia kwa sauti
3/16
Choo kiko wapi?
© Copyright LingoHut.com 725443
Dov’è il bagno?
Rudia kwa sauti
4/16
Kituo cha basi kipo wapi?
© Copyright LingoHut.com 725443
Dove’è la fermata dell’autobus?
Rudia kwa sauti
5/16
Ni sehemu gani ijayo ya kusimama?
© Copyright LingoHut.com 725443
Qual è la prossima fermata?
Rudia kwa sauti
6/16
Je, hii ni sehemu yangu ya kushuka?
© Copyright LingoHut.com 725443
È questa la mia fermata?
Rudia kwa sauti
7/16
Samahani, nahitaji kushukia hapa
© Copyright LingoHut.com 725443
Scusa, devo scendere qui
Rudia kwa sauti
8/16
Jumba la makumbusho liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 725443
Dov’è il museo?
Rudia kwa sauti
9/16
Je, kuna malipo ya kiingilio?
© Copyright LingoHut.com 725443
L’ingresso è a pagamento?
Rudia kwa sauti
10/16
Duka la dawa liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 725443
Dove posso trovare una farmacia?
Rudia kwa sauti
11/16
Mgahawa mzuri uko wapi?
© Copyright LingoHut.com 725443
Dove trovo un buon ristorante?
Rudia kwa sauti
12/16
Je, kuna duka la dawa karibu?
© Copyright LingoHut.com 725443
C’è una farmacia qui vicino?
Rudia kwa sauti
13/16
Je, mnauza magazeti katika Kiingereza?
© Copyright LingoHut.com 725443
Vendi riviste in inglese?
Rudia kwa sauti
14/16
Sinema inaanza saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 725443
A che ora comincia il film?
Rudia kwa sauti
15/16
Ninataka tiketi nne tafadhali
© Copyright LingoHut.com 725443
Vorrei quattro biglietti, per favore
Rudia kwa sauti
16/16
Je, filamu iko kwa Kiingereza?
© Copyright LingoHut.com 725443
Il film è in inglese?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording