Jifunze Kiitaliano :: Somo la 56 Ununuzi
Kadi za masomo
Unatamkaje kwa Kiitaliano Ni wazi; Imefungwa; Imefungwa kwa ajili ya chakula cha mchana; Duka litafunga saa ngapi?; Naenda madukani; Eneo kuu la maduka liko wapi?; Nataka kwenda senta ya maduka; Unaweza kunisaidia?; Ninaangalia tu; Naipenda; Siipendi; Nitainunua; Je, una?;
1/13
Eneo kuu la maduka liko wapi?
Dov’è la zona dei negozi?
- Kiswahili
- Kiitaliano
2/13
Duka litafunga saa ngapi?
A che ora chiude il negozio?
- Kiswahili
- Kiitaliano
3/13
Nitainunua
Lo compro
- Kiswahili
- Kiitaliano
4/13
Imefungwa
Chiuso
- Kiswahili
- Kiitaliano
5/13
Nataka kwenda senta ya maduka
Voglio andare al centro commerciale
- Kiswahili
- Kiitaliano
6/13
Imefungwa kwa ajili ya chakula cha mchana
Chiuso per pausa pranzo
- Kiswahili
- Kiitaliano
7/13
Ni wazi
Aperto
- Kiswahili
- Kiitaliano
8/13
Siipendi
Non mi piace
- Kiswahili
- Kiitaliano
9/13
Naipenda
Mi piace
- Kiswahili
- Kiitaliano
10/13
Ninaangalia tu
Dò solo un’occhiata
- Kiswahili
- Kiitaliano
11/13
Unaweza kunisaidia?
Puoi aiutarmi?
- Kiswahili
- Kiitaliano
12/13
Naenda madukani
Vado a fare spese
- Kiswahili
- Kiitaliano
13/13
Je, una?
Hai?
- Kiswahili
- Kiitaliano
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording