Jifunze Kiitaliano :: Somo la 27 Shughuli za pwani
Misamiati ya Kiitaliano
Unatamkaje kwa Kiitaliano Kuota jua; Neli ya hewa ya mzamia; Kutumia neli ya hewa; Je, ufukwe una mchanga?; Je, ni salama kwa watoto?; Je, tunaweza kuogelea hapa?; Je, ni salama kuogelea hapa?; Je, kuna mkondo wa chini wenye hatari?; Je, bamvua inatokea saa ngapi?; Je, maji kupwa yanatokea saa ngapi?; Je, kuna mkondo wa nguvu?; Naenda kwa matembezi; Je, tunaweza kupiga mbizi hapa bila hatari?; Ninawezaje kufika kwenye kisiwa?; Je, kuna mashua ambayo inaweza kutuchukua huko?;
1/15
Kuota jua
© Copyright LingoHut.com 725389
Prendere il sole
Rudia kwa sauti
2/15
Neli ya hewa ya mzamia
© Copyright LingoHut.com 725389
Boccaglio
Rudia kwa sauti
3/15
Kutumia neli ya hewa
© Copyright LingoHut.com 725389
Fare snorkeling
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ufukwe una mchanga?
© Copyright LingoHut.com 725389
La spiaggia è di sabbia?
Rudia kwa sauti
5/15
Je, ni salama kwa watoto?
© Copyright LingoHut.com 725389
Ci sono pericoli per i bambini?
Rudia kwa sauti
6/15
Je, tunaweza kuogelea hapa?
© Copyright LingoHut.com 725389
Possiamo nuotare qui?
Rudia kwa sauti
7/15
Je, ni salama kuogelea hapa?
© Copyright LingoHut.com 725389
Si può nuotare senza pericolo qui?
Rudia kwa sauti
8/15
Je, kuna mkondo wa chini wenye hatari?
© Copyright LingoHut.com 725389
C’è una risacca pericolosa?
Rudia kwa sauti
9/15
Je, bamvua inatokea saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 725389
A che ora arriva l’alta marea?
Rudia kwa sauti
10/15
Je, maji kupwa yanatokea saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 725389
A che ora arriva la bassa marea?
Rudia kwa sauti
11/15
Je, kuna mkondo wa nguvu?
© Copyright LingoHut.com 725389
C’è una corrente forte?
Rudia kwa sauti
12/15
Naenda kwa matembezi
© Copyright LingoHut.com 725389
Vado a fare una passeggiata
Rudia kwa sauti
13/15
Je, tunaweza kupiga mbizi hapa bila hatari?
© Copyright LingoHut.com 725389
Possiamo tuffarci senza pericolo qui?
Rudia kwa sauti
14/15
Ninawezaje kufika kwenye kisiwa?
© Copyright LingoHut.com 725389
Come arrivo all’isola?
Rudia kwa sauti
15/15
Je, kuna mashua ambayo inaweza kutuchukua huko?
© Copyright LingoHut.com 725389
Possiamo prendere una barca per andarci?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording