Jifunze Kiindonesia :: Somo la 98 Kukodisha chumba au Airbnb
Misamiati ya Kiindonesia
Unatamkaje kwa Kiindonesia Je, kina vitanda 2?; Je, mna huduma ya chumba?; Je, una mgahawa?; Je, ni pamoja na chakula?; Je, mna bwawa?; Bwawa liko wapi?; Tunahitaji taulo za bwawa; Je, unaweza kuniletea mto mwingine?; Chumba chetu haikikusafishwa; Chumba hakina blanketi zozote; Nahitaji kuongea na meneja; Hakuna maji moto; Sipendi chumba hiki; Manyunyu hayafanyi kazi; Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi;
1/15
Je, kina vitanda 2?
© Copyright LingoHut.com 725335
Apakah ada dua tempat tidur?
Rudia kwa sauti
2/15
Je, mna huduma ya chumba?
© Copyright LingoHut.com 725335
Apakah ada layanan kamar?
Rudia kwa sauti
3/15
Je, una mgahawa?
© Copyright LingoHut.com 725335
Apakah ada restoran?
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ni pamoja na chakula?
© Copyright LingoHut.com 725335
Apakah makanan sudah termasuk?
Rudia kwa sauti
5/15
Je, mna bwawa?
© Copyright LingoHut.com 725335
Apakah ada kolam renang?
Rudia kwa sauti
6/15
Bwawa liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 725335
Di mana kolam renangnya?
Rudia kwa sauti
7/15
Tunahitaji taulo za bwawa
© Copyright LingoHut.com 725335
Kami butuh handuk untuk kolam renang
Rudia kwa sauti
8/15
Je, unaweza kuniletea mto mwingine?
© Copyright LingoHut.com 725335
Boleh minta bantal lain?
Rudia kwa sauti
9/15
Chumba chetu haikikusafishwa
© Copyright LingoHut.com 725335
Kamar kami belum dibersihkan
Rudia kwa sauti
10/15
Chumba hakina blanketi zozote
© Copyright LingoHut.com 725335
Sama sekali tidak ada selimut di kamar
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji kuongea na meneja
© Copyright LingoHut.com 725335
Saya perlu berbicara dengan manajer
Rudia kwa sauti
12/15
Hakuna maji moto
© Copyright LingoHut.com 725335
Tidak ada air panas
Rudia kwa sauti
13/15
Sipendi chumba hiki
© Copyright LingoHut.com 725335
Saya tidak suka kamar ini
Rudia kwa sauti
14/15
Manyunyu hayafanyi kazi
© Copyright LingoHut.com 725335
Showernya rusak
Rudia kwa sauti
15/15
Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi
© Copyright LingoHut.com 725335
Kami membutuhkan kamar ber-AC
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording