Jifunze Kihangaria :: Somo la 89 Ofisi ya matibabu
Misamiati ya Kihangaria
Unatamkaje kwa Kihangaria Nahitaji kuona daktari; Je, daktari yuko ofisini?; Unaweza tafadhali kuita daktari?; Daktari atakuja lini?; Je, wewe ni muuguzi (wa kike)?; Sijui nina nini; Nimepoteza miwani yangu; Je, unaweza kuibadilisha mara moja?; Ninahitaji agizo la daktari?; Je, unakula dawa yoyote?; Ndiyo, kwa ajili ya moyo wangu; Asante kwa msaada wako;
1/12
Nahitaji kuona daktari
© Copyright LingoHut.com 725076
Orvoshoz kell mennem
Rudia kwa sauti
2/12
Je, daktari yuko ofisini?
© Copyright LingoHut.com 725076
Az orvos a rendelőben van?
Rudia kwa sauti
3/12
Unaweza tafadhali kuita daktari?
© Copyright LingoHut.com 725076
Tudna orvost hívni?
Rudia kwa sauti
4/12
Daktari atakuja lini?
© Copyright LingoHut.com 725076
Mikor jön az orvos?
Rudia kwa sauti
5/12
Je, wewe ni muuguzi (wa kike)?
© Copyright LingoHut.com 725076
Ön az ápolónő?
Rudia kwa sauti
6/12
Sijui nina nini
© Copyright LingoHut.com 725076
Nem tudom, mi a bajom
Rudia kwa sauti
7/12
Nimepoteza miwani yangu
© Copyright LingoHut.com 725076
Elvesztettem a szemüvegem
Rudia kwa sauti
8/12
Je, unaweza kuibadilisha mara moja?
© Copyright LingoHut.com 725076
Ki tudná most cserélni?
Rudia kwa sauti
9/12
Ninahitaji agizo la daktari?
© Copyright LingoHut.com 725076
Fel kell írni?
Rudia kwa sauti
10/12
Je, unakula dawa yoyote?
© Copyright LingoHut.com 725076
Szed valamilyen gyógyszert?
Rudia kwa sauti
11/12
Ndiyo, kwa ajili ya moyo wangu
© Copyright LingoHut.com 725076
Igen, a szívemre
Rudia kwa sauti
12/12
Asante kwa msaada wako
© Copyright LingoHut.com 725076
Köszönöm a segítséget
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording