Jifunze Kihindi :: Somo la 123 Vitu ninafanya na sitaki
Misamiati ya Kihindi
Unatamkaje kwa Kihindi Nataka kuota jua; Nataka kwenda kuteleza kwa skii ya majini; Nataka kwenda kwenye bustani; Nataka kwenda ziwani; Nataka kuteleza kwa ubao thelujini; Nataka kusafiri; Nataka kwenda kwa mashua; Nataka kucheza karata; Sitaki kwenda kupiga kambi; Sitaki kwenda kwa tanga; Sitaki kwenda kuvua; Sitaki kwenda kuogelea; Sitaki kucheza michezo ya video;
1/13
Nataka kuota jua
© Copyright LingoHut.com 724985
मैं धूप सेंकना चाहता हूँ
Rudia kwa sauti
2/13
Nataka kwenda kuteleza kwa skii ya majini
© Copyright LingoHut.com 724985
मैं वाटर स्कीइंग करना चाहता हूँ
Rudia kwa sauti
3/13
Nataka kwenda kwenye bustani
© Copyright LingoHut.com 724985
मैं बागीचे में जाना चाहता हूँ
Rudia kwa sauti
4/13
Nataka kwenda ziwani
© Copyright LingoHut.com 724985
मैं झील में जाना चाहता हूँ
Rudia kwa sauti
5/13
Nataka kuteleza kwa ubao thelujini
© Copyright LingoHut.com 724985
मैं स्की करने के लिए जाना चाहता हूँ
Rudia kwa sauti
6/13
Nataka kusafiri
© Copyright LingoHut.com 724985
मैं यात्रा करना चाहता हूँ
Rudia kwa sauti
7/13
Nataka kwenda kwa mashua
© Copyright LingoHut.com 724985
मैं नौका विहार जाना चाहता हूँ
Rudia kwa sauti
8/13
Nataka kucheza karata
© Copyright LingoHut.com 724985
मैं कार्ड खेलना चाहता हूँ
Rudia kwa sauti
9/13
Sitaki kwenda kupiga kambi
© Copyright LingoHut.com 724985
मैं कैम्पिंग के लिए नहीं जाना चाहता
Rudia kwa sauti
10/13
Sitaki kwenda kwa tanga
© Copyright LingoHut.com 724985
मैं नौकायन के लिए नहीं जाना चाहता
Rudia kwa sauti
11/13
Sitaki kwenda kuvua
© Copyright LingoHut.com 724985
मैं मछली पकड़ने के लिए नहीं जाना चाहता हूँ
Rudia kwa sauti
12/13
Sitaki kwenda kuogelea
© Copyright LingoHut.com 724985
मैं तैराकी के लिए नहीं जाना चाहता हूँ
Rudia kwa sauti
13/13
Sitaki kucheza michezo ya video
© Copyright LingoHut.com 724985
मैं वीडियो गेम खेलना नहीं चाहता हूँ
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording