Jifunze Kihindi :: Somo la 90 Daktari: mimi ni mgonjwa
Misamiati ya Kihindi
Unatamkaje kwa Kihindi Sijisikii vizuri; Mimi ni mgonjwa; Ninaumwa tumbo; Ninaumwa kichwa; Nasikia kichefuchefu; Nina mzio; Nina tumbo la kuendesha; Nina kizunguzungu; Nina kipandauso; Nilikuwa na homa tangu jana; Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu; Sina shinikizo la damu; Mimi ni mjamzito; Nina upele; Je, hali ni mbaya sana?;
1/15
Sijisikii vizuri
© Copyright LingoHut.com 724952
मेरी तबियत ठीक नहीं लग रही है
Rudia kwa sauti
2/15
Mimi ni mgonjwa
© Copyright LingoHut.com 724952
मैं बीमार हूँ
Rudia kwa sauti
3/15
Ninaumwa tumbo
© Copyright LingoHut.com 724952
मेरे पेट में दर्द है
Rudia kwa sauti
4/15
Ninaumwa kichwa
© Copyright LingoHut.com 724952
मेरे सिर में दर्द है
Rudia kwa sauti
5/15
Nasikia kichefuchefu
© Copyright LingoHut.com 724952
मुझे मिचली आ रही
Rudia kwa sauti
6/15
Nina mzio
© Copyright LingoHut.com 724952
मुझे एलर्जी है
Rudia kwa sauti
7/15
Nina tumbo la kuendesha
© Copyright LingoHut.com 724952
मुझे दस्त हो रहे हैं
Rudia kwa sauti
8/15
Nina kizunguzungu
© Copyright LingoHut.com 724952
मुझे चक्कर आ रहा है
Rudia kwa sauti
9/15
Nina kipandauso
© Copyright LingoHut.com 724952
मुझे माइग्रेन है
Rudia kwa sauti
10/15
Nilikuwa na homa tangu jana
© Copyright LingoHut.com 724952
मुझे कल से बुखार है
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu
© Copyright LingoHut.com 724952
मुझे दर्द के लिए दवा की जरूरत है
Rudia kwa sauti
12/15
Sina shinikizo la damu
© Copyright LingoHut.com 724952
मुझे उच्च रक्तचाप नहीं है
Rudia kwa sauti
13/15
Mimi ni mjamzito
© Copyright LingoHut.com 724952
मैं गर्भवती हूँ
Rudia kwa sauti
14/15
Nina upele
© Copyright LingoHut.com 724952
मुझे ददोरे हुए हैं
Rudia kwa sauti
15/15
Je, hali ni mbaya sana?
© Copyright LingoHut.com 724952
क्या यह गंभीर है?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording