Jifunze Kihindi :: Somo la 71 Kwenye mkahawa
Misamiati ya Kihindi
Unatamkaje kwa Kihindi Tunahitaji meza ya watu wanne; Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili; Naweza kuona menyu?; Unapendekeza nini?; Ni pamoja na nini?; Je, inakuja pamoja na saladi?; Supu ya leo ni gani?; Chakula maalum cha leo ni gani?; Ungependa kula nini?; Kitindamlo cha siku; Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji; Una nyama gani?; Nahitaji kitambaa; Unaweza kunipa maji zaidi?; Unaweza kunipa chumvi?; Unaweza kuniletea matunda?;
1/16
Tunahitaji meza ya watu wanne
© Copyright LingoHut.com 724933
हमें चार व्यक्तियों के लिए एक मेज की जरूरत है
Rudia kwa sauti
2/16
Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili
© Copyright LingoHut.com 724933
मैं दो के लिए एक मेज आरक्षित करना चाहता हूँ
Rudia kwa sauti
3/16
Naweza kuona menyu?
© Copyright LingoHut.com 724933
क्या मैं मेनू देख सकता हूँ?
Rudia kwa sauti
4/16
Unapendekeza nini?
© Copyright LingoHut.com 724933
आप क्या सुझाएंगे?
Rudia kwa sauti
5/16
Ni pamoja na nini?
© Copyright LingoHut.com 724933
इसमें क्या शामिल है?
Rudia kwa sauti
6/16
Je, inakuja pamoja na saladi?
© Copyright LingoHut.com 724933
क्या यह एक सलाद के साथ आता है?
Rudia kwa sauti
7/16
Supu ya leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 724933
आजका विशेष सूप क्या है?
Rudia kwa sauti
8/16
Chakula maalum cha leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 724933
आज क्या विशेष है?
Rudia kwa sauti
9/16
Ungependa kula nini?
© Copyright LingoHut.com 724933
आप क्या खाना चाहेंगे?
Rudia kwa sauti
10/16
Kitindamlo cha siku
© Copyright LingoHut.com 724933
आज की विशेष मिठाई
Rudia kwa sauti
11/16
Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji
© Copyright LingoHut.com 724933
मैं एक क्षेत्रीय पकवान खाना चाहूँगा
Rudia kwa sauti
12/16
Una nyama gani?
© Copyright LingoHut.com 724933
आपके पास किस प्रकार का मांस है?
Rudia kwa sauti
13/16
Nahitaji kitambaa
© Copyright LingoHut.com 724933
मुझे एक नैपकिन चाहिये
Rudia kwa sauti
14/16
Unaweza kunipa maji zaidi?
© Copyright LingoHut.com 724933
क्या आप मुझे थोडा और पानी दे सकते हैं?
Rudia kwa sauti
15/16
Unaweza kunipa chumvi?
© Copyright LingoHut.com 724933
क्या तुम मुझे नमक पारित कर सकते हो?
Rudia kwa sauti
16/16
Unaweza kuniletea matunda?
© Copyright LingoHut.com 724933
क्या तुम मेरे लिए फल ला सकते हो?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording