Jifunze Kihindi :: Somo la 56 Ununuzi
Misamiati ya Kihindi
Unatamkaje kwa Kihindi Ni wazi; Imefungwa; Imefungwa kwa ajili ya chakula cha mchana; Duka litafunga saa ngapi?; Naenda madukani; Eneo kuu la maduka liko wapi?; Nataka kwenda senta ya maduka; Unaweza kunisaidia?; Ninaangalia tu; Naipenda; Siipendi; Nitainunua; Je, una?;
1/13
Ni wazi
© Copyright LingoHut.com 724918
खुला
Rudia kwa sauti
2/13
Imefungwa
© Copyright LingoHut.com 724918
बंद
Rudia kwa sauti
3/13
Imefungwa kwa ajili ya chakula cha mchana
© Copyright LingoHut.com 724918
भोजन के लिए बंद
Rudia kwa sauti
4/13
Duka litafunga saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 724918
किस समय दुकान बंद हो जाएगा?
Rudia kwa sauti
5/13
Naenda madukani
© Copyright LingoHut.com 724918
मैं खरीदारी के लिए जा रहा हूँ
Rudia kwa sauti
6/13
Eneo kuu la maduka liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 724918
मुख्य खरीदारी क्षेत्र कहां है?
Rudia kwa sauti
7/13
Nataka kwenda senta ya maduka
© Copyright LingoHut.com 724918
मैं शॉपिंग सेंटर जाना चाहता हूँ
Rudia kwa sauti
8/13
Unaweza kunisaidia?
© Copyright LingoHut.com 724918
क्या आप मेरी मदद कर सकते हैं?
Rudia kwa sauti
9/13
Ninaangalia tu
© Copyright LingoHut.com 724918
मैं सिर्फ देख रहा हूँ
Rudia kwa sauti
10/13
Naipenda
© Copyright LingoHut.com 724918
मुझे यह पसंद है
Rudia kwa sauti
11/13
Siipendi
© Copyright LingoHut.com 724918
मुझे यह पसंद नहीं है
Rudia kwa sauti
12/13
Nitainunua
© Copyright LingoHut.com 724918
मैं इसे खरीद लूंगा
Rudia kwa sauti
13/13
Je, una?
© Copyright LingoHut.com 724918
क्या आपके पास है?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording