Jifunze Kihebrania :: Somo la 81 Kuzunguka mji
Misamiati ya Kihebrania
Unatamkaje kwa Kihebrania Mlango wa kutoka; Mlango wa kuingia; Choo kiko wapi?; Kituo cha basi kipo wapi?; Ni sehemu gani ijayo ya kusimama?; Je, hii ni sehemu yangu ya kushuka?; Samahani, nahitaji kushukia hapa; Jumba la makumbusho liko wapi?; Je, kuna malipo ya kiingilio?; Duka la dawa liko wapi?; Mgahawa mzuri uko wapi?; Je, kuna duka la dawa karibu?; Je, mnauza magazeti katika Kiingereza?; Sinema inaanza saa ngapi?; Ninataka tiketi nne tafadhali; Je, filamu iko kwa Kiingereza?;
1/16
Mlango wa kutoka
© Copyright LingoHut.com 724818
יציאה
Rudia kwa sauti
2/16
Mlango wa kuingia
© Copyright LingoHut.com 724818
כניסה
Rudia kwa sauti
3/16
Choo kiko wapi?
© Copyright LingoHut.com 724818
איפה השירותים?
Rudia kwa sauti
4/16
Kituo cha basi kipo wapi?
© Copyright LingoHut.com 724818
איפה תחנת האוטובוס?
Rudia kwa sauti
5/16
Ni sehemu gani ijayo ya kusimama?
© Copyright LingoHut.com 724818
מה התחנה הבאה?
Rudia kwa sauti
6/16
Je, hii ni sehemu yangu ya kushuka?
© Copyright LingoHut.com 724818
האם זו התחנה שלי?
Rudia kwa sauti
7/16
Samahani, nahitaji kushukia hapa
© Copyright LingoHut.com 724818
תסלח לי, אני צריך לרדת כאן
Rudia kwa sauti
8/16
Jumba la makumbusho liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 724818
איפה המוזיאון?
Rudia kwa sauti
9/16
Je, kuna malipo ya kiingilio?
© Copyright LingoHut.com 724818
האם יש דמי כניסה?
Rudia kwa sauti
10/16
Duka la dawa liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 724818
איפה אני יכול למצוא בית מרקחת?
Rudia kwa sauti
11/16
Mgahawa mzuri uko wapi?
© Copyright LingoHut.com 724818
איפה יש מסעדה טובה?
Rudia kwa sauti
12/16
Je, kuna duka la dawa karibu?
© Copyright LingoHut.com 724818
האם יש בית מרקחת בקרבת מקום?
Rudia kwa sauti
13/16
Je, mnauza magazeti katika Kiingereza?
© Copyright LingoHut.com 724818
האם אתה מוכר מגזינים באנגלית?
Rudia kwa sauti
14/16
Sinema inaanza saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 724818
באיזו שעה מתחיל הסרט?
Rudia kwa sauti
15/16
Ninataka tiketi nne tafadhali
© Copyright LingoHut.com 724818
אני רוצה ארבעה כרטיסים בבקשה
Rudia kwa sauti
16/16
Je, filamu iko kwa Kiingereza?
© Copyright LingoHut.com 724818
האם הסרט באנגלית?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording