Jifunze Kigiriki :: Somo la 106 Mahojiano ya kazi
Misamiati ya Kigiriki
Unatamkaje kwa Kigiriki Je, unatoa bima ya afya?; Ndiyo, baada ya miezi sita ya kufanya kazi hapa; Je, una kibali cha kufanya kazi?; Nina kibali cha kufanya kazi; Sina kibali cha kufanya kazi; Unaweza kuanza lini?; Ninalipa dola kumi kwa saa; Ninalipa yuro kumi za Ulaya kwa saa; Nitakulipa kwa wiki; Kwa mwezi; Una mapumziko Jumamosi na Jumapili; Utavaa sare;
1/12
Je, unatoa bima ya afya?
© Copyright LingoHut.com 724718
Παρέχετε ασφάλιση υγείας; (Parékhete asphálisi iyías)
Rudia kwa sauti
2/12
Ndiyo, baada ya miezi sita ya kufanya kazi hapa
© Copyright LingoHut.com 724718
Ναι, μετά από έξι μήνες εργασίας εδώ (Nai, metá apó éxi mínes ergasías edó)
Rudia kwa sauti
3/12
Je, una kibali cha kufanya kazi?
© Copyright LingoHut.com 724718
Έχετε άδεια εργασίας; (Ékhete ádia ergasías)
Rudia kwa sauti
4/12
Nina kibali cha kufanya kazi
© Copyright LingoHut.com 724718
Έχω άδεια εργασίας (Ékho ádia ergasías)
Rudia kwa sauti
5/12
Sina kibali cha kufanya kazi
© Copyright LingoHut.com 724718
Δεν έχω άδεια εργασίας (Den ékho ádia ergasías)
Rudia kwa sauti
6/12
Unaweza kuanza lini?
© Copyright LingoHut.com 724718
Πότε μπορείτε να αρχίσετε; (Póte boríte na arkhísete)
Rudia kwa sauti
7/12
Ninalipa dola kumi kwa saa
© Copyright LingoHut.com 724718
Πληρώνω δέκα δολάρια την ώρα (Pliróno déka dolária tin óra)
Rudia kwa sauti
8/12
Ninalipa yuro kumi za Ulaya kwa saa
© Copyright LingoHut.com 724718
Πληρώνω δέκα ευρώ την ώρα (Pliróno déka evró tin óra)
Rudia kwa sauti
9/12
Nitakulipa kwa wiki
© Copyright LingoHut.com 724718
Θα σας πληρώνω κάθε εβδομάδα (Tha sas pliróno káthe evdomáda)
Rudia kwa sauti
10/12
Kwa mwezi
© Copyright LingoHut.com 724718
Ανά μήνα (Aná mína)
Rudia kwa sauti
11/12
Una mapumziko Jumamosi na Jumapili
© Copyright LingoHut.com 724718
Έχετε ρεπό τα Σάββατα και τις Κυριακές (Ékhete repó ta Sávvata kai tis Kiriakés)
Rudia kwa sauti
12/12
Utavaa sare
© Copyright LingoHut.com 724718
Θα φοράτε στολή (Tha phoráte stolí)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording