Jifunze Kigiriki :: Somo la 97 Kukodisha hoteli
Misamiati ya Kigiriki
Unatamkaje kwa Kigiriki Chumba cha hoteli; Nimehifadhi nafasi; Sina rizavu; Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?; Je, naweza kuona chumba?; Inagharimu ngapi kwa usiku?; Inagharimu ngapi kwa wiki?; Nitakaa kwa wiki tatu; Tuko hapa kwa wiki mbili; Mimi ni mgeni; Tunahitaji funguo 3; Lifti iko wapi?; Je, chumba kina kitanda kikubwa?; Je, kina bafu binafsi?; Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari;
1/15
Chumba cha hoteli
© Copyright LingoHut.com 724709
Δωμάτιο ξενοδοχείου (Domátio xenodokhíou)
Rudia kwa sauti
2/15
Nimehifadhi nafasi
© Copyright LingoHut.com 724709
Έχω μια κράτηση (Ékho mia krátisi)
Rudia kwa sauti
3/15
Sina rizavu
© Copyright LingoHut.com 724709
Δεν έχω κάνει κράτηση (Den ékho káni krátisi)
Rudia kwa sauti
4/15
Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?
© Copyright LingoHut.com 724709
Έχετε δωμάτιο; (Ékhete domátio)
Rudia kwa sauti
5/15
Je, naweza kuona chumba?
© Copyright LingoHut.com 724709
Μπορώ να δω το δωμάτιο; (Boró na do to domátio)
Rudia kwa sauti
6/15
Inagharimu ngapi kwa usiku?
© Copyright LingoHut.com 724709
Πόσο κοστίζει ανά νύχτα; (Póso kostízi aná níkhta)
Rudia kwa sauti
7/15
Inagharimu ngapi kwa wiki?
© Copyright LingoHut.com 724709
Πόσο κοστίζει ανά εβδομάδα; (Póso kostízi aná evdomáda)
Rudia kwa sauti
8/15
Nitakaa kwa wiki tatu
© Copyright LingoHut.com 724709
Θα μείνω τρεις εβδομάδες (Tha míno tris evdomádes)
Rudia kwa sauti
9/15
Tuko hapa kwa wiki mbili
© Copyright LingoHut.com 724709
Θα μείνουμε δύο εβδομάδες (Tha mínoume dío evdomádes)
Rudia kwa sauti
10/15
Mimi ni mgeni
© Copyright LingoHut.com 724709
Είμαι επισκέπτης (Ímai episképtis)
Rudia kwa sauti
11/15
Tunahitaji funguo 3
© Copyright LingoHut.com 724709
Χρειαζόμαστε 3 κλειδιά (Khriazómaste 3 klidiá)
Rudia kwa sauti
12/15
Lifti iko wapi?
© Copyright LingoHut.com 724709
Πού είναι το ασανσέρ; (Poú ínai to asansér)
Rudia kwa sauti
13/15
Je, chumba kina kitanda kikubwa?
© Copyright LingoHut.com 724709
Έχει διπλό κρεβάτι το δωμάτιο; (Ékhi dipló kreváti to domátio)
Rudia kwa sauti
14/15
Je, kina bafu binafsi?
© Copyright LingoHut.com 724709
Διαθέτει ιδιωτικό μπάνιο; (Diathéti idiotikó bánio)
Rudia kwa sauti
15/15
Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari
© Copyright LingoHut.com 724709
Θα θέλαμε δωμάτιο με θέα στον ωκεανό (Tha thélame domátio me théa ston okeanó)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording