Jifunze Kigiriki :: Somo la 27 Shughuli za pwani
Misamiati ya Kigiriki
Unatamkaje kwa Kigiriki Kuota jua; Neli ya hewa ya mzamia; Kutumia neli ya hewa; Je, ufukwe una mchanga?; Je, ni salama kwa watoto?; Je, tunaweza kuogelea hapa?; Je, ni salama kuogelea hapa?; Je, kuna mkondo wa chini wenye hatari?; Je, bamvua inatokea saa ngapi?; Je, maji kupwa yanatokea saa ngapi?; Je, kuna mkondo wa nguvu?; Naenda kwa matembezi; Je, tunaweza kupiga mbizi hapa bila hatari?; Ninawezaje kufika kwenye kisiwa?; Je, kuna mashua ambayo inaweza kutuchukua huko?;
1/15
Kuota jua
© Copyright LingoHut.com 724639
Κάνω ηλιοθεραπεία (Káno iliotherapía)
Rudia kwa sauti
2/15
Neli ya hewa ya mzamia
© Copyright LingoHut.com 724639
Αναπνευστήρας (Anapnefstíras)
Rudia kwa sauti
3/15
Kutumia neli ya hewa
© Copyright LingoHut.com 724639
Κάνω κατάδυση με αναπνευστήρα (Káno katádisi me anapnefstíra)
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ufukwe una mchanga?
© Copyright LingoHut.com 724639
Έχει αμμουδιά η παραλία; (Ékhi ammoudiá i paralía)
Rudia kwa sauti
5/15
Je, ni salama kwa watoto?
© Copyright LingoHut.com 724639
Είναι ασφαλές για τα παιδιά; (Ínai asphalés yia ta paidiá)
Rudia kwa sauti
6/15
Je, tunaweza kuogelea hapa?
© Copyright LingoHut.com 724639
Μπορούμε να κολυμπήσουμε εδώ; (Boroúme na kolimpísoume edó)
Rudia kwa sauti
7/15
Je, ni salama kuogelea hapa?
© Copyright LingoHut.com 724639
Είναι ασφαλές να κολυμπήσει κανείς εδώ; (Ínai asphalés na kolimpísi kanís edó)
Rudia kwa sauti
8/15
Je, kuna mkondo wa chini wenye hatari?
© Copyright LingoHut.com 724639
Υπάρχει επικίνδυνο υπόρρευμα; (Ipárkhi epikíndino ipórrevma)
Rudia kwa sauti
9/15
Je, bamvua inatokea saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 724639
Τι ώρα έχει πλημμυρίδα; (Ti óra ékhi plimmirída)
Rudia kwa sauti
10/15
Je, maji kupwa yanatokea saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 724639
Τι ώρα έχει άμπωτη; (Ti óra ékhi ámpoti)
Rudia kwa sauti
11/15
Je, kuna mkondo wa nguvu?
© Copyright LingoHut.com 724639
Υπάρχει ισχυρό ρεύμα; (Ipárkhi iskhiró révma)
Rudia kwa sauti
12/15
Naenda kwa matembezi
© Copyright LingoHut.com 724639
Πάω βόλτα (Páo vólta)
Rudia kwa sauti
13/15
Je, tunaweza kupiga mbizi hapa bila hatari?
© Copyright LingoHut.com 724639
Μπορούμε να κάνουμε κατάδυση εδώ χωρίς κίνδυνο; (Boroúme na kánoume katádisi edó khorís kíndino)
Rudia kwa sauti
14/15
Ninawezaje kufika kwenye kisiwa?
© Copyright LingoHut.com 724639
Πώς μπορώ να πάω στο νησί; (Pós boró na páo sto nisí)
Rudia kwa sauti
15/15
Je, kuna mashua ambayo inaweza kutuchukua huko?
© Copyright LingoHut.com 724639
Υπάρχει σκάφος που μπορεί να μας πάει εκεί; (Ipárkhi skáphos pou borí na mas pái ekí)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording