Jifunze Kijerumani :: Somo la 98 Kukodisha chumba au Airbnb
Misamiati ya Kijerumani
Unatamkaje kwa Kijerumani Je, kina vitanda 2?; Je, mna huduma ya chumba?; Je, una mgahawa?; Je, ni pamoja na chakula?; Je, mna bwawa?; Bwawa liko wapi?; Tunahitaji taulo za bwawa; Je, unaweza kuniletea mto mwingine?; Chumba chetu haikikusafishwa; Chumba hakina blanketi zozote; Nahitaji kuongea na meneja; Hakuna maji moto; Sipendi chumba hiki; Manyunyu hayafanyi kazi; Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi;
1/15
Je, kina vitanda 2?
© Copyright LingoHut.com 724585
Hat es zwei Betten?
Rudia kwa sauti
2/15
Je, mna huduma ya chumba?
© Copyright LingoHut.com 724585
Haben Sie Zimmerservice?
Rudia kwa sauti
3/15
Je, una mgahawa?
© Copyright LingoHut.com 724585
Haben Sie ein Restaurant?
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ni pamoja na chakula?
© Copyright LingoHut.com 724585
Sind die Mahlzeiten inklusive?
Rudia kwa sauti
5/15
Je, mna bwawa?
© Copyright LingoHut.com 724585
Haben Sie ein Schwimmbad?
Rudia kwa sauti
6/15
Bwawa liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 724585
Wo ist das Schwimmbad?
Rudia kwa sauti
7/15
Tunahitaji taulo za bwawa
© Copyright LingoHut.com 724585
Wir brauchen Handtücher für den Pool
Rudia kwa sauti
8/15
Je, unaweza kuniletea mto mwingine?
© Copyright LingoHut.com 724585
Kannst du mir noch ein Kissen bringen?
Rudia kwa sauti
9/15
Chumba chetu haikikusafishwa
© Copyright LingoHut.com 724585
Unser Zimmer wurde nicht gereinigt
Rudia kwa sauti
10/15
Chumba hakina blanketi zozote
© Copyright LingoHut.com 724585
Das Zimmer hat keine Decken
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji kuongea na meneja
© Copyright LingoHut.com 724585
Ich muss mit dem Manager sprechen
Rudia kwa sauti
12/15
Hakuna maji moto
© Copyright LingoHut.com 724585
Wir haben kein heißes Wasser
Rudia kwa sauti
13/15
Sipendi chumba hiki
© Copyright LingoHut.com 724585
Das Zimmer gefällt mir nicht
Rudia kwa sauti
14/15
Manyunyu hayafanyi kazi
© Copyright LingoHut.com 724585
Die Dusche funktioniert nicht
Rudia kwa sauti
15/15
Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi
© Copyright LingoHut.com 724585
Wir brauchen ein Zimmer mit Klimaanlage
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording