Jifunze Kijerumani :: Somo la 89 Ofisi ya matibabu
Misamiati ya Kijerumani
Unatamkaje kwa Kijerumani Nahitaji kuona daktari; Je, daktari yuko ofisini?; Unaweza tafadhali kuita daktari?; Daktari atakuja lini?; Je, wewe ni muuguzi (wa kike)?; Sijui nina nini; Nimepoteza miwani yangu; Je, unaweza kuibadilisha mara moja?; Ninahitaji agizo la daktari?; Je, unakula dawa yoyote?; Ndiyo, kwa ajili ya moyo wangu; Asante kwa msaada wako;
1/12
Nahitaji kuona daktari
© Copyright LingoHut.com 724576
Ich muss einen Arzt aufsuchen
Rudia kwa sauti
2/12
Je, daktari yuko ofisini?
© Copyright LingoHut.com 724576
Ist der Arzt anwesend?
Rudia kwa sauti
3/12
Unaweza tafadhali kuita daktari?
© Copyright LingoHut.com 724576
Können Sie bitte einen Arzt anrufen?
Rudia kwa sauti
4/12
Daktari atakuja lini?
© Copyright LingoHut.com 724576
Wann kommt der Arzt?
Rudia kwa sauti
5/12
Je, wewe ni muuguzi (wa kike)?
© Copyright LingoHut.com 724576
Sind Sie die Krankenschwester?
Rudia kwa sauti
6/12
Sijui nina nini
© Copyright LingoHut.com 724576
Ich weiß nicht, was ich habe
Rudia kwa sauti
7/12
Nimepoteza miwani yangu
© Copyright LingoHut.com 724576
Ich habe meine Brille verloren
Rudia kwa sauti
8/12
Je, unaweza kuibadilisha mara moja?
© Copyright LingoHut.com 724576
Können Sie sie sofort ersetzen?
Rudia kwa sauti
9/12
Ninahitaji agizo la daktari?
© Copyright LingoHut.com 724576
Brauche ich ein Rezept?
Rudia kwa sauti
10/12
Je, unakula dawa yoyote?
© Copyright LingoHut.com 724576
Nehmen Sie irgendwelche Medikamente?
Rudia kwa sauti
11/12
Ndiyo, kwa ajili ya moyo wangu
© Copyright LingoHut.com 724576
Ja, für mein Herz
Rudia kwa sauti
12/12
Asante kwa msaada wako
© Copyright LingoHut.com 724576
Vielen Dank für Ihre Hilfe
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording