Jifunze Kijerumani :: Somo la 27 Shughuli za pwani
Misamiati ya Kijerumani
Unatamkaje kwa Kijerumani Kuota jua; Neli ya hewa ya mzamia; Kutumia neli ya hewa; Je, ufukwe una mchanga?; Je, ni salama kwa watoto?; Je, tunaweza kuogelea hapa?; Je, ni salama kuogelea hapa?; Je, kuna mkondo wa chini wenye hatari?; Je, bamvua inatokea saa ngapi?; Je, maji kupwa yanatokea saa ngapi?; Je, kuna mkondo wa nguvu?; Naenda kwa matembezi; Je, tunaweza kupiga mbizi hapa bila hatari?; Ninawezaje kufika kwenye kisiwa?; Je, kuna mashua ambayo inaweza kutuchukua huko?;
1/15
Kuota jua
© Copyright LingoHut.com 724514
Sonnen
Rudia kwa sauti
2/15
Neli ya hewa ya mzamia
© Copyright LingoHut.com 724514
(der) Schnorchel
Rudia kwa sauti
3/15
Kutumia neli ya hewa
© Copyright LingoHut.com 724514
Schnorcheln
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ufukwe una mchanga?
© Copyright LingoHut.com 724514
Ist es ein Sandstrand?
Rudia kwa sauti
5/15
Je, ni salama kwa watoto?
© Copyright LingoHut.com 724514
Ist es sicher für Kinder?
Rudia kwa sauti
6/15
Je, tunaweza kuogelea hapa?
© Copyright LingoHut.com 724514
Können wir hier schwimmen?
Rudia kwa sauti
7/15
Je, ni salama kuogelea hapa?
© Copyright LingoHut.com 724514
Ist es sicher zu schwimmen?
Rudia kwa sauti
8/15
Je, kuna mkondo wa chini wenye hatari?
© Copyright LingoHut.com 724514
Gibt es gefährlichen Sog?
Rudia kwa sauti
9/15
Je, bamvua inatokea saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 724514
Wann ist Flut?
Rudia kwa sauti
10/15
Je, maji kupwa yanatokea saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 724514
Wann ist Ebbe?
Rudia kwa sauti
11/15
Je, kuna mkondo wa nguvu?
© Copyright LingoHut.com 724514
Gibt es gefährliche Strömungen?
Rudia kwa sauti
12/15
Naenda kwa matembezi
© Copyright LingoHut.com 724514
Ich gehe spazieren
Rudia kwa sauti
13/15
Je, tunaweza kupiga mbizi hapa bila hatari?
© Copyright LingoHut.com 724514
Können wir hier gefahrlos tauchen?
Rudia kwa sauti
14/15
Ninawezaje kufika kwenye kisiwa?
© Copyright LingoHut.com 724514
Wie komme ich zur Insel?
Rudia kwa sauti
15/15
Je, kuna mashua ambayo inaweza kutuchukua huko?
© Copyright LingoHut.com 724514
Kann uns ein Boot bringen?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording