Jifunze Kijojia :: Somo la 56 Ununuzi Mchezo wa tic-tac-toe Unatamkaje kwa Kijojia Ni wazi; Imefungwa; Imefungwa kwa ajili ya chakula cha mchana; Duka litafunga saa ngapi?; Naenda madukani; Eneo kuu la maduka liko wapi?; Nataka kwenda senta ya maduka; Unaweza kunisaidia?; Ninaangalia tu; Naipenda; Siipendi; Nitainunua; Je, una?;
Congratulations!
Try again!!
Cheza tena
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording
Ni wazi ღია (ghia)
Imefungwa დაკეტილი (dak’et’ili)
Imefungwa kwa ajili ya chakula cha mchana შუადღის შესვენება (shuadghis shesveneba)
Duka litafunga saa ngapi? მაღაზია რომელ საათზე იკეტება? (maghazia romel saatze ik’et’eba)
Naenda madukani საყიდლებზე მივდივარ (saq’idlebze mivdivar)
Eneo kuu la maduka liko wapi? სად არის ძირითადი სავაჭრო ზონა? (sad aris dziritadi savach’ro zona)
Nataka kwenda senta ya maduka სავაჭრო ცენტრში მინდა წასვლა (savach’ro tsent’rshi minda ts’asvla)
Unaweza kunisaidia? ვერ დამეხმარებით? (ver damekhmarebit)
Ninaangalia tu უბრალოდ ვათვალიერებ (ubralod vatvaliereb)
Naipenda მომწონს (momts’ons)
Siipendi არ მომწონს (ar momts’ons)
Nitainunua ამას ვიყიდი (amas viq’idi)
Je, una? გაქვთ? (gakvt)
Je! Unaona kosa kwenye tovuti yetu? Tafadhali tujulishe