Jifunze Kifaransa :: Somo la 106 Mahojiano ya kazi
Misamiati ya Kifaransa
Unatamkaje kwa Kifaransa Je, unatoa bima ya afya?; Ndiyo, baada ya miezi sita ya kufanya kazi hapa; Je, una kibali cha kufanya kazi?; Nina kibali cha kufanya kazi; Sina kibali cha kufanya kazi; Unaweza kuanza lini?; Ninalipa dola kumi kwa saa; Ninalipa yuro kumi za Ulaya kwa saa; Nitakulipa kwa wiki; Kwa mwezi; Una mapumziko Jumamosi na Jumapili; Utavaa sare;
1/12
Je, unatoa bima ya afya?
© Copyright LingoHut.com 724218
Offrez-vous une assurance médicale?
Rudia kwa sauti
2/12
Ndiyo, baada ya miezi sita ya kufanya kazi hapa
© Copyright LingoHut.com 724218
Oui, après six mois d'emploi
Rudia kwa sauti
3/12
Je, una kibali cha kufanya kazi?
© Copyright LingoHut.com 724218
Avez-vous un permis de travail?
Rudia kwa sauti
4/12
Nina kibali cha kufanya kazi
© Copyright LingoHut.com 724218
J’ai un permis de travail
Rudia kwa sauti
5/12
Sina kibali cha kufanya kazi
© Copyright LingoHut.com 724218
Je n’ai pas de permis de travail
Rudia kwa sauti
6/12
Unaweza kuanza lini?
© Copyright LingoHut.com 724218
Quand pouvez-vous commencer?
Rudia kwa sauti
7/12
Ninalipa dola kumi kwa saa
© Copyright LingoHut.com 724218
Je paye dix dollars de l'heure
Rudia kwa sauti
8/12
Ninalipa yuro kumi za Ulaya kwa saa
© Copyright LingoHut.com 724218
Je paie dix euros l’heure
Rudia kwa sauti
9/12
Nitakulipa kwa wiki
© Copyright LingoHut.com 724218
Je vous paierai à la semaine
Rudia kwa sauti
10/12
Kwa mwezi
© Copyright LingoHut.com 724218
Par mois
Rudia kwa sauti
11/12
Una mapumziko Jumamosi na Jumapili
© Copyright LingoHut.com 724218
Vous aurez congé le samedi et le dimanche
Rudia kwa sauti
12/12
Utavaa sare
© Copyright LingoHut.com 724218
Vous devrez porter un uniforme
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording