Jifunze Kifaransa :: Somo la 92 Daktari: Nina homa
Misamiati ya Kifaransa
Unatamkaje kwa Kifaransa Mafua; Nina mafua; Nina homa ya baridi; Ndiyo, nina homa; Ninaumwa koo; Je, una homa?; Nahitaji dawa ya mafua; Umejisikia hivi kwa muda gani?; Nimejisikia hivi kwa muda wa siku 3; Kula vidonge viwili kwa siku; Mapumziko ya kitandani;
1/11
Mafua
© Copyright LingoHut.com 724204
(la) Grippe
Rudia kwa sauti
2/11
Nina mafua
© Copyright LingoHut.com 724204
J’ai un rhume
Rudia kwa sauti
3/11
Nina homa ya baridi
© Copyright LingoHut.com 724204
J’ai des frissons
Rudia kwa sauti
4/11
Ndiyo, nina homa
© Copyright LingoHut.com 724204
Oui, j’ai de la fièvre
Rudia kwa sauti
5/11
Ninaumwa koo
© Copyright LingoHut.com 724204
J’ai mal à la gorge
Rudia kwa sauti
6/11
Je, una homa?
© Copyright LingoHut.com 724204
Avez-vous de la fièvre?
Rudia kwa sauti
7/11
Nahitaji dawa ya mafua
© Copyright LingoHut.com 724204
Je voudrais quelque chose contre le rhume
Rudia kwa sauti
8/11
Umejisikia hivi kwa muda gani?
© Copyright LingoHut.com 724204
Depuis combien êtes-vous dans cet état?
Rudia kwa sauti
9/11
Nimejisikia hivi kwa muda wa siku 3
© Copyright LingoHut.com 724204
Je me sens comme ça depuis trois jours
Rudia kwa sauti
10/11
Kula vidonge viwili kwa siku
© Copyright LingoHut.com 724204
Prenez deux pilules par jour
Rudia kwa sauti
11/11
Mapumziko ya kitandani
© Copyright LingoHut.com 724204
Alitement
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording