Jifunze Kifaransa :: Somo la 74 Vizuizi vya lishe
Misamiati ya Kifaransa
Unatamkaje kwa Kifaransa Niko katika mpangilio wa chakula; Mimi ni mla mboga; Sili nyama; Nina mzio wa karanga; Siwezi kula gluten; Siwezi kula sukari; Siruhusiwi kula sukari; Nina mizio ya vyakula mbalimbali; Kina vyungo gani?;
1/9
Niko katika mpangilio wa chakula
© Copyright LingoHut.com 724186
Je suis au régime
Rudia kwa sauti
2/9
Mimi ni mla mboga
© Copyright LingoHut.com 724186
Je suis végétarien
Rudia kwa sauti
3/9
Sili nyama
© Copyright LingoHut.com 724186
Je ne mange pas de viande
Rudia kwa sauti
4/9
Nina mzio wa karanga
© Copyright LingoHut.com 724186
Je suis allergique aux noix
Rudia kwa sauti
5/9
Siwezi kula gluten
© Copyright LingoHut.com 724186
Je ne mange pas de gluten
Rudia kwa sauti
6/9
Siwezi kula sukari
© Copyright LingoHut.com 724186
Je ne mange pas de sucre
Rudia kwa sauti
7/9
Siruhusiwi kula sukari
© Copyright LingoHut.com 724186
Je ne peux pas manger de sucre
Rudia kwa sauti
8/9
Nina mizio ya vyakula mbalimbali
© Copyright LingoHut.com 724186
Je suis allergique à certains aliments
Rudia kwa sauti
9/9
Kina vyungo gani?
© Copyright LingoHut.com 724186
Quels sont les ingrédients?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording