Jifunze Kiajemi :: Somo la 90 Daktari: mimi ni mgonjwa
Misamiati ya Kiajemi
Unatamkaje kwa Kiajemi Sijisikii vizuri; Mimi ni mgonjwa; Ninaumwa tumbo; Ninaumwa kichwa; Nasikia kichefuchefu; Nina mzio; Nina tumbo la kuendesha; Nina kizunguzungu; Nina kipandauso; Nilikuwa na homa tangu jana; Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu; Sina shinikizo la damu; Mimi ni mjamzito; Nina upele; Je, hali ni mbaya sana?;
1/15
Sijisikii vizuri
© Copyright LingoHut.com 723952
من حالم خوب نیست
Rudia kwa sauti
2/15
Mimi ni mgonjwa
© Copyright LingoHut.com 723952
من مریض هستم
Rudia kwa sauti
3/15
Ninaumwa tumbo
© Copyright LingoHut.com 723952
من دل درد دارم
Rudia kwa sauti
4/15
Ninaumwa kichwa
© Copyright LingoHut.com 723952
من سر درد دارم
Rudia kwa sauti
5/15
Nasikia kichefuchefu
© Copyright LingoHut.com 723952
حالت تهوع دارم
Rudia kwa sauti
6/15
Nina mzio
© Copyright LingoHut.com 723952
من حساسیت دارم
Rudia kwa sauti
7/15
Nina tumbo la kuendesha
© Copyright LingoHut.com 723952
من اسهال دارم
Rudia kwa sauti
8/15
Nina kizunguzungu
© Copyright LingoHut.com 723952
من سرگیجه دارم
Rudia kwa sauti
9/15
Nina kipandauso
© Copyright LingoHut.com 723952
من میگرن دارم
Rudia kwa sauti
10/15
Nilikuwa na homa tangu jana
© Copyright LingoHut.com 723952
من از دیروز تا به حال تب دارم
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu
© Copyright LingoHut.com 723952
من نیاز به مسکن دارم
Rudia kwa sauti
12/15
Sina shinikizo la damu
© Copyright LingoHut.com 723952
من فشار خون بالا ندارم
Rudia kwa sauti
13/15
Mimi ni mjamzito
© Copyright LingoHut.com 723952
من باردار هستم
Rudia kwa sauti
14/15
Nina upele
© Copyright LingoHut.com 723952
من کهیر زدم
Rudia kwa sauti
15/15
Je, hali ni mbaya sana?
© Copyright LingoHut.com 723952
آیا جدی است؟
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording