Jifunze Kiajemi :: Somo la 89 Ofisi ya matibabu
Misamiati ya Kiajemi
Unatamkaje kwa Kiajemi Nahitaji kuona daktari; Je, daktari yuko ofisini?; Unaweza tafadhali kuita daktari?; Daktari atakuja lini?; Je, wewe ni muuguzi (wa kike)?; Sijui nina nini; Nimepoteza miwani yangu; Je, unaweza kuibadilisha mara moja?; Ninahitaji agizo la daktari?; Je, unakula dawa yoyote?; Ndiyo, kwa ajili ya moyo wangu; Asante kwa msaada wako;
1/12
Nahitaji kuona daktari
© Copyright LingoHut.com 723951
من باید به دکتر مراجعه کنم
Rudia kwa sauti
2/12
Je, daktari yuko ofisini?
© Copyright LingoHut.com 723951
آیا دکتر در مطب است؟
Rudia kwa sauti
3/12
Unaweza tafadhali kuita daktari?
© Copyright LingoHut.com 723951
آیا می توانید به دکتر تلفن بزنید؟
Rudia kwa sauti
4/12
Daktari atakuja lini?
© Copyright LingoHut.com 723951
چه موقع دکتر می آید؟
Rudia kwa sauti
5/12
Je, wewe ni muuguzi (wa kike)?
© Copyright LingoHut.com 723951
آیا شما پرستار هستید؟
Rudia kwa sauti
6/12
Sijui nina nini
© Copyright LingoHut.com 723951
من نمی دانم بیماری من چیست
Rudia kwa sauti
7/12
Nimepoteza miwani yangu
© Copyright LingoHut.com 723951
من عینکم را گم کرده ام
Rudia kwa sauti
8/12
Je, unaweza kuibadilisha mara moja?
© Copyright LingoHut.com 723951
آیا می توانید همین الان یکی دیگر به من بدهید؟
Rudia kwa sauti
9/12
Ninahitaji agizo la daktari?
© Copyright LingoHut.com 723951
آیا نسخه نیاز دارم؟
Rudia kwa sauti
10/12
Je, unakula dawa yoyote?
© Copyright LingoHut.com 723951
آیا هیچ دارویی مصرف می کنید؟
Rudia kwa sauti
11/12
Ndiyo, kwa ajili ya moyo wangu
© Copyright LingoHut.com 723951
بله، برای قلبم
Rudia kwa sauti
12/12
Asante kwa msaada wako
© Copyright LingoHut.com 723951
بابت کمک شما سپاسگزارم
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording