Jifunze Kiestonia :: Somo la 57 Kununua kwa nguo
Kadi za masomo
Unatamkaje kwa Kiestonia Naweza kujipima?; Wapi chumba kubadilisha?; Kubwa; Ya kati; Ndogo; Navaa saizi kubwa; Je, una saizi kubwa zaidi?; Je, una saizi ndogo zaidi?; Hii inabana sana; Inanifaa vizuri; Napenda hii shati; Unauza makoti ya mvua?; Unaweza kunionyesha baadhi ya mashati?; Rangi hainipendezi; Je, unayo katika rangi nyingine?; Ni wapi naweza kupata nguo ya kuogelea?; Unaweza kunionyesha saa?;
1/17
Inanifaa vizuri
See sobib mulle hästi
- Kiswahili
- Kiestonia
2/17
Unaweza kunionyesha saa?
Palun näita mulle seda kella
- Kiswahili
- Kiestonia
3/17
Navaa saizi kubwa
Ma kannan suurust L
- Kiswahili
- Kiestonia
4/17
Kubwa
Suur
- Kiswahili
- Kiestonia
5/17
Ndogo
Väike
- Kiswahili
- Kiestonia
6/17
Wapi chumba kubadilisha?
Kus on proovikabiin?
- Kiswahili
- Kiestonia
7/17
Hii inabana sana
See on liiga pingul
- Kiswahili
- Kiestonia
8/17
Ni wapi naweza kupata nguo ya kuogelea?
Kust ma leian ujumistrikoo?
- Kiswahili
- Kiestonia
9/17
Rangi hainipendezi
Värv ei sobi mulle
- Kiswahili
- Kiestonia
10/17
Unaweza kunionyesha baadhi ya mashati?
Näita palun mõnda särki?
- Kiswahili
- Kiestonia
11/17
Naweza kujipima?
Kas ma võin seda selga proovida?
- Kiswahili
- Kiestonia
12/17
Unauza makoti ya mvua?
Kas teil on vihmamantleid?
- Kiswahili
- Kiestonia
13/17
Napenda hii shati
Mulle meeldib see särk
- Kiswahili
- Kiestonia
14/17
Je, unayo katika rangi nyingine?
Kas teil on seda teist värvi?
- Kiswahili
- Kiestonia
15/17
Je, una saizi kubwa zaidi?
Kas teil on suuremat suurust?
- Kiswahili
- Kiestonia
16/17
Ya kati
Keskmine
- Kiswahili
- Kiestonia
17/17
Je, una saizi ndogo zaidi?
Kas teil on väiksemat suurust?
- Kiswahili
- Kiestonia
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording