Jifunze Kiholanzi :: Somo la 99 Kutoka nje ya hoteli
Misamiati ya Kiholanzi
Unatamkaje kwa Kiholanzi Niko tayari kuondoka; Nilifurahia matembezi yangu; Hii ni hoteli nzuri; Wafanyakazi wako ni bora; Nitakupendekeza; Asante kwa kila kitu; Nahitaji mhudumu wa mizigo; Je, unaweza kuniletea teksi?; Wapi naweza kupata teksi?; Nahitaji teksi; Nauli ni ngapi?; Tafadhali nisubiri; Nahitaji kukodi gari; Mlinzi wa usalama;
1/14
Niko tayari kuondoka
© Copyright LingoHut.com 723711
Ik ben klaar om uit te checken
Rudia kwa sauti
2/14
Nilifurahia matembezi yangu
© Copyright LingoHut.com 723711
Ik heb genoten van mijn verblijf
Rudia kwa sauti
3/14
Hii ni hoteli nzuri
© Copyright LingoHut.com 723711
Het is een mooi hotel
Rudia kwa sauti
4/14
Wafanyakazi wako ni bora
© Copyright LingoHut.com 723711
Uw personeel is uitmuntend
Rudia kwa sauti
5/14
Nitakupendekeza
© Copyright LingoHut.com 723711
Ik zal u aanbevelen
Rudia kwa sauti
6/14
Asante kwa kila kitu
© Copyright LingoHut.com 723711
Hartelijk bedankt voor alles
Rudia kwa sauti
7/14
Nahitaji mhudumu wa mizigo
© Copyright LingoHut.com 723711
Ik heb een piccolo nodig
Rudia kwa sauti
8/14
Je, unaweza kuniletea teksi?
© Copyright LingoHut.com 723711
Kunt u een taxi voor me regelen?
Rudia kwa sauti
9/14
Wapi naweza kupata teksi?
© Copyright LingoHut.com 723711
Waar kan ik een taxi vinden?
Rudia kwa sauti
10/14
Nahitaji teksi
© Copyright LingoHut.com 723711
Ik heb een taxi nodig
Rudia kwa sauti
11/14
Nauli ni ngapi?
© Copyright LingoHut.com 723711
Hoeveel kost de rit?
Rudia kwa sauti
12/14
Tafadhali nisubiri
© Copyright LingoHut.com 723711
Wacht je alsjeblieft op me
Rudia kwa sauti
13/14
Nahitaji kukodi gari
© Copyright LingoHut.com 723711
Ik moet een auto huren
Rudia kwa sauti
14/14
Mlinzi wa usalama
© Copyright LingoHut.com 723711
(de) Veiligheidsbewaker
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording