Jifunze Kiholanzi :: Somo la 91 Daktari: Nimeumia
Misamiati ya Kiholanzi
Unatamkaje kwa Kiholanzi Mguu wangu unauma; Nilianguka; Nilipata ajali; Unahitaji plasta; Je, una magongo?; Kutenguka; Ulivunja mfupa; Nadhani niliuvunja; Lala chini; Nahitaji kulala chini; Angalia kwenye vilio hili; Unaumwa wapi?; Kidonda kimeambukizwa;
1/13
Mguu wangu unauma
© Copyright LingoHut.com 723703
Mijn voet doet pijn
Rudia kwa sauti
2/13
Nilianguka
© Copyright LingoHut.com 723703
Ik ben gevallen
Rudia kwa sauti
3/13
Nilipata ajali
© Copyright LingoHut.com 723703
Ik heb een ongeluk gehad
Rudia kwa sauti
4/13
Unahitaji plasta
© Copyright LingoHut.com 723703
Je hebt gips nodig
Rudia kwa sauti
5/13
Je, una magongo?
© Copyright LingoHut.com 723703
Heb je krukken?
Rudia kwa sauti
6/13
Kutenguka
© Copyright LingoHut.com 723703
Verstuikt
Rudia kwa sauti
7/13
Ulivunja mfupa
© Copyright LingoHut.com 723703
Je hebt een bot gebroken
Rudia kwa sauti
8/13
Nadhani niliuvunja
© Copyright LingoHut.com 723703
Ik denk dat ik het gebroken heb
Rudia kwa sauti
9/13
Lala chini
© Copyright LingoHut.com 723703
Ga liggen
Rudia kwa sauti
10/13
Nahitaji kulala chini
© Copyright LingoHut.com 723703
Ik moet gaan liggen
Rudia kwa sauti
11/13
Angalia kwenye vilio hili
© Copyright LingoHut.com 723703
Kijk naar de kneuzing
Rudia kwa sauti
12/13
Unaumwa wapi?
© Copyright LingoHut.com 723703
Waar doet het pijn?
Rudia kwa sauti
13/13
Kidonda kimeambukizwa
© Copyright LingoHut.com 723703
De snee is geïnfecteerd
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording