Jifunze Kiholanzi :: Somo la 81 Kuzunguka mji
Misamiati ya Kiholanzi
Unatamkaje kwa Kiholanzi Mlango wa kutoka; Mlango wa kuingia; Choo kiko wapi?; Kituo cha basi kipo wapi?; Ni sehemu gani ijayo ya kusimama?; Je, hii ni sehemu yangu ya kushuka?; Samahani, nahitaji kushukia hapa; Jumba la makumbusho liko wapi?; Je, kuna malipo ya kiingilio?; Duka la dawa liko wapi?; Mgahawa mzuri uko wapi?; Je, kuna duka la dawa karibu?; Je, mnauza magazeti katika Kiingereza?; Sinema inaanza saa ngapi?; Ninataka tiketi nne tafadhali; Je, filamu iko kwa Kiingereza?;
1/16
Mlango wa kutoka
© Copyright LingoHut.com 723693
(de) Uitgang
Rudia kwa sauti
2/16
Mlango wa kuingia
© Copyright LingoHut.com 723693
(de) Ingang
Rudia kwa sauti
3/16
Choo kiko wapi?
© Copyright LingoHut.com 723693
Waar is de W.C.?
Rudia kwa sauti
4/16
Kituo cha basi kipo wapi?
© Copyright LingoHut.com 723693
Waar is de bushalte?
Rudia kwa sauti
5/16
Ni sehemu gani ijayo ya kusimama?
© Copyright LingoHut.com 723693
Wat is de volgende bushalte?
Rudia kwa sauti
6/16
Je, hii ni sehemu yangu ya kushuka?
© Copyright LingoHut.com 723693
Is dit mijn halte?
Rudia kwa sauti
7/16
Samahani, nahitaji kushukia hapa
© Copyright LingoHut.com 723693
Pardon, ik moet er hier uit
Rudia kwa sauti
8/16
Jumba la makumbusho liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 723693
Waar is het museum?
Rudia kwa sauti
9/16
Je, kuna malipo ya kiingilio?
© Copyright LingoHut.com 723693
Zijn er toegangskosten?
Rudia kwa sauti
10/16
Duka la dawa liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 723693
Waar kan ik een apotheek vinden?
Rudia kwa sauti
11/16
Mgahawa mzuri uko wapi?
© Copyright LingoHut.com 723693
Waar is een goed restaurant?
Rudia kwa sauti
12/16
Je, kuna duka la dawa karibu?
© Copyright LingoHut.com 723693
Is er een apotheek dichtbij?
Rudia kwa sauti
13/16
Je, mnauza magazeti katika Kiingereza?
© Copyright LingoHut.com 723693
Verkoopt u Engelse tijdschriften?
Rudia kwa sauti
14/16
Sinema inaanza saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 723693
Hoe laat begint de film?
Rudia kwa sauti
15/16
Ninataka tiketi nne tafadhali
© Copyright LingoHut.com 723693
Ik wil graag vier kaarten
Rudia kwa sauti
16/16
Je, filamu iko kwa Kiingereza?
© Copyright LingoHut.com 723693
Is de film in het Engels?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording