Jifunze Kichina :: Somo la 97 Kukodisha hoteli
Misamiati ya Kichina
Unatamkaje kwa Kichina Chumba cha hoteli; Nimehifadhi nafasi; Sina rizavu; Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?; Je, naweza kuona chumba?; Inagharimu ngapi kwa usiku?; Inagharimu ngapi kwa wiki?; Nitakaa kwa wiki tatu; Tuko hapa kwa wiki mbili; Mimi ni mgeni; Tunahitaji funguo 3; Lifti iko wapi?; Je, chumba kina kitanda kikubwa?; Je, kina bafu binafsi?; Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari;
1/15
Chumba cha hoteli
© Copyright LingoHut.com 723459
酒店房间 (jiǔ diàn fáng jiān)
Rudia kwa sauti
2/15
Nimehifadhi nafasi
© Copyright LingoHut.com 723459
我已经预定了 (wŏ yĭ jīng yù dìng le)
Rudia kwa sauti
3/15
Sina rizavu
© Copyright LingoHut.com 723459
我没有预定 (wŏ méi yŏu yù dìng)
Rudia kwa sauti
4/15
Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?
© Copyright LingoHut.com 723459
你们还有空房吗? (nǐ mén hai yǒu kōng fáng má)
Rudia kwa sauti
5/15
Je, naweza kuona chumba?
© Copyright LingoHut.com 723459
我可以看一下房间吗? (wŏ kĕ yĭ kān yī xià fáng jiān mā)
Rudia kwa sauti
6/15
Inagharimu ngapi kwa usiku?
© Copyright LingoHut.com 723459
房间一晚多少钱? (fáng jiān yī wăn duō shao qián)
Rudia kwa sauti
7/15
Inagharimu ngapi kwa wiki?
© Copyright LingoHut.com 723459
房间一周多少钱? (fáng jiān yī zhōu duō shao qián)
Rudia kwa sauti
8/15
Nitakaa kwa wiki tatu
© Copyright LingoHut.com 723459
我要在这里住三个星期 (wŏ yāo zài zhè lĭ zhù sān gè xīng qī)
Rudia kwa sauti
9/15
Tuko hapa kwa wiki mbili
© Copyright LingoHut.com 723459
我们会在这里待两周 (wǒ mén huì zài zhè lǐ dài liǎng zhōu)
Rudia kwa sauti
10/15
Mimi ni mgeni
© Copyright LingoHut.com 723459
我是这里的住客 (wǒ shì zhè lǐ dí zhù kè)
Rudia kwa sauti
11/15
Tunahitaji funguo 3
© Copyright LingoHut.com 723459
我们需要三张房卡 (wǒ mén xū yào sān zhāng fáng qiǎ)
Rudia kwa sauti
12/15
Lifti iko wapi?
© Copyright LingoHut.com 723459
电梯在哪里? (diàn tī zài nă lĭ)
Rudia kwa sauti
13/15
Je, chumba kina kitanda kikubwa?
© Copyright LingoHut.com 723459
房间里是双人床吗? (fáng jiān lĭ shì shuāng rén chuáng mā)
Rudia kwa sauti
14/15
Je, kina bafu binafsi?
© Copyright LingoHut.com 723459
客房带独立卫生间吗? (kè fáng dài dú lì wèi shēng jiān má)
Rudia kwa sauti
15/15
Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari
© Copyright LingoHut.com 723459
我们想要一间海景房 (wǒ mén xiǎng yào yī jiān hǎi jǐng fáng)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording