Jifunze Kichina :: Somo la 94 Uhamiaji na forodha
Misamiati ya Kichina
Unatamkaje kwa Kichina Forodha iko wapi?; Ofisi ya forodha; Pasipoti; Uhamiaji; Visa; Unaelekea wapi?; Aina ya kitambulisho; Hii ni pasipoti yangu; Je, una kitu chochote cha kuonyesha?; Ndiyo, ninacho kitu cha kuonyesha; Hapana, sina kitu chochote cha kuonyesha; Niko hapa kwa ajili ya biashara; Niko hapa kwa ajili ya likizo; Nitakuwa hapa kwa wiki moja;
1/14
Forodha iko wapi?
© Copyright LingoHut.com 723456
海关在哪里? (hăi guān zài nă lĭ)
Rudia kwa sauti
2/14
Ofisi ya forodha
© Copyright LingoHut.com 723456
海关 (hăi guān)
Rudia kwa sauti
3/14
Pasipoti
© Copyright LingoHut.com 723456
护照 (hù zhào)
Rudia kwa sauti
4/14
Uhamiaji
© Copyright LingoHut.com 723456
入境 (rù jìng)
Rudia kwa sauti
5/14
Visa
© Copyright LingoHut.com 723456
签证 (qiān zhèng)
Rudia kwa sauti
6/14
Unaelekea wapi?
© Copyright LingoHut.com 723456
你要去哪里? (nĭ yāo qù nă lĭ)
Rudia kwa sauti
7/14
Aina ya kitambulisho
© Copyright LingoHut.com 723456
身份证件 (shēn fèn zhèng jiàn)
Rudia kwa sauti
8/14
Hii ni pasipoti yangu
© Copyright LingoHut.com 723456
这是我的护照 (zhè shì wŏ de hù zhào)
Rudia kwa sauti
9/14
Je, una kitu chochote cha kuonyesha?
© Copyright LingoHut.com 723456
你有要申报的物品吗? (Nǐ yǒu yào shēnbào de wùpǐn ma)
Rudia kwa sauti
10/14
Ndiyo, ninacho kitu cha kuonyesha
© Copyright LingoHut.com 723456
有的,我有要申报的物品 (Yǒu de, wǒ yǒu yào shēnbào de wùpǐn)
Rudia kwa sauti
11/14
Hapana, sina kitu chochote cha kuonyesha
© Copyright LingoHut.com 723456
我没有要申报的物品 (Wǒ méiyǒu yào shēnbào de wùpǐn)
Rudia kwa sauti
12/14
Niko hapa kwa ajili ya biashara
© Copyright LingoHut.com 723456
我是来出差的 (Wǒ shì lái chūchāi de)
Rudia kwa sauti
13/14
Niko hapa kwa ajili ya likizo
© Copyright LingoHut.com 723456
我是来度假的 (wǒ shì lái dùjià de)
Rudia kwa sauti
14/14
Nitakuwa hapa kwa wiki moja
© Copyright LingoHut.com 723456
我会待上一周 (wǒ huì dài shàng yī zhōu)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording