Jifunze Kichina :: Somo la 81 Kuzunguka mji
Misamiati ya Kichina
Unatamkaje kwa Kichina Mlango wa kutoka; Mlango wa kuingia; Choo kiko wapi?; Kituo cha basi kipo wapi?; Ni sehemu gani ijayo ya kusimama?; Je, hii ni sehemu yangu ya kushuka?; Samahani, nahitaji kushukia hapa; Jumba la makumbusho liko wapi?; Je, kuna malipo ya kiingilio?; Duka la dawa liko wapi?; Mgahawa mzuri uko wapi?; Je, kuna duka la dawa karibu?; Je, mnauza magazeti katika Kiingereza?; Sinema inaanza saa ngapi?; Ninataka tiketi nne tafadhali; Je, filamu iko kwa Kiingereza?;
1/16
Mlango wa kutoka
© Copyright LingoHut.com 723443
出口 (chū kŏu)
Rudia kwa sauti
2/16
Mlango wa kuingia
© Copyright LingoHut.com 723443
入口 (rù kŏu)
Rudia kwa sauti
3/16
Choo kiko wapi?
© Copyright LingoHut.com 723443
洗手间在哪里? (xĭ shŏu jiān zài nă lĭ)
Rudia kwa sauti
4/16
Kituo cha basi kipo wapi?
© Copyright LingoHut.com 723443
公交站在哪里? (gōng jiāo zhàn zài nă lĭ)
Rudia kwa sauti
5/16
Ni sehemu gani ijayo ya kusimama?
© Copyright LingoHut.com 723443
下一站是哪里? (xià yī zhàn shì nă lĭ)
Rudia kwa sauti
6/16
Je, hii ni sehemu yangu ya kushuka?
© Copyright LingoHut.com 723443
我到站了吗? (wǒ dào zhàn liǎo má)
Rudia kwa sauti
7/16
Samahani, nahitaji kushukia hapa
© Copyright LingoHut.com 723443
打扰一下,我需要在这里下车 (dă răo yī xià wŏ xū yào zài zhè lĭ xià chē)
Rudia kwa sauti
8/16
Jumba la makumbusho liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 723443
博物馆在哪里? (bó wù guăn zài nă lĭ)
Rudia kwa sauti
9/16
Je, kuna malipo ya kiingilio?
© Copyright LingoHut.com 723443
需要门票吗? (xū yào mén piào má)
Rudia kwa sauti
10/16
Duka la dawa liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 723443
我可以在哪里找到药店? (wŏ kĕ yĭ zài nă lĭ zhăo dào yào diàn)
Rudia kwa sauti
11/16
Mgahawa mzuri uko wapi?
© Copyright LingoHut.com 723443
哪里有好吃的餐厅? (nǎ lǐ yǒu hǎo chī dí cān tīng)
Rudia kwa sauti
12/16
Je, kuna duka la dawa karibu?
© Copyright LingoHut.com 723443
附近有药店吗? (fù jìn yǒu yào diàn má)
Rudia kwa sauti
13/16
Je, mnauza magazeti katika Kiingereza?
© Copyright LingoHut.com 723443
你们有英语杂志卖吗? (nǐ mén yǒu yīng yǔ zá zhì mài má)
Rudia kwa sauti
14/16
Sinema inaanza saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 723443
电影什么时间开始? (diàn yĭng shén me shí jiān kāi shĭ)
Rudia kwa sauti
15/16
Ninataka tiketi nne tafadhali
© Copyright LingoHut.com 723443
请给我四张票 (qĭng gĕi wŏ sì zhāng piào)
Rudia kwa sauti
16/16
Je, filamu iko kwa Kiingereza?
© Copyright LingoHut.com 723443
电影是英文的吗? (diàn yĭng shì Yīng wén de mā)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording