Jifunze Kikroasia :: Somo la 105 Maombi ya kazi
Misamiati ya Kikroasia
Unatamkaje kwa Kikroasia Natafuta kazi; Je, naweza kuona ufupisho wako?; Huu ni ufupisho wangu; Je, kuna wadhamini naweza kuwasiliana nao?; Hii ni orodha ya wadhamini wangu; Una uzoefu wa kiasi gani?; Umekuwa ukifanya kazi katika uwanja huu kwa muda gani?; Miaka 3; Mimi ni mhitimu wa shule ya sekondari; Mimi ni mhitimu wa chuo; Natafuta kazi ya muda maalumu; Ningependa kufanya kazi ya kudumu;
1/12
Natafuta kazi
© Copyright LingoHut.com 723342
Tražim posao
Rudia kwa sauti
2/12
Je, naweza kuona ufupisho wako?
© Copyright LingoHut.com 723342
Mogu li vidjeti vaš životopis?
Rudia kwa sauti
3/12
Huu ni ufupisho wangu
© Copyright LingoHut.com 723342
Izvolite moj životopis
Rudia kwa sauti
4/12
Je, kuna wadhamini naweza kuwasiliana nao?
© Copyright LingoHut.com 723342
Imate li preporuke koje mogu kontaktirati?
Rudia kwa sauti
5/12
Hii ni orodha ya wadhamini wangu
© Copyright LingoHut.com 723342
Izvolite popis mojih preporuka
Rudia kwa sauti
6/12
Una uzoefu wa kiasi gani?
© Copyright LingoHut.com 723342
Koliko iskustva imate?
Rudia kwa sauti
7/12
Umekuwa ukifanya kazi katika uwanja huu kwa muda gani?
© Copyright LingoHut.com 723342
Koliko dugo ste radili u tom području?
Rudia kwa sauti
8/12
Miaka 3
© Copyright LingoHut.com 723342
3 godine
Rudia kwa sauti
9/12
Mimi ni mhitimu wa shule ya sekondari
© Copyright LingoHut.com 723342
Završio sam srednju školu
Rudia kwa sauti
10/12
Mimi ni mhitimu wa chuo
© Copyright LingoHut.com 723342
Završio sam fakultet
Rudia kwa sauti
11/12
Natafuta kazi ya muda maalumu
© Copyright LingoHut.com 723342
Tražim posao sa skraćenim radnim vremenom
Rudia kwa sauti
12/12
Ningependa kufanya kazi ya kudumu
© Copyright LingoHut.com 723342
Želio bih raditi puno radno vrijeme
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording