Jifunze Kikatalani :: Somo la 71 Kwenye mkahawa
Misamiati ya Kikatalani
Unatamkaje kwa Kikatalani Tunahitaji meza ya watu wanne; Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili; Naweza kuona menyu?; Unapendekeza nini?; Ni pamoja na nini?; Je, inakuja pamoja na saladi?; Supu ya leo ni gani?; Chakula maalum cha leo ni gani?; Ungependa kula nini?; Kitindamlo cha siku; Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji; Una nyama gani?; Nahitaji kitambaa; Unaweza kunipa maji zaidi?; Unaweza kunipa chumvi?; Unaweza kuniletea matunda?;
1/16
Tunahitaji meza ya watu wanne
© Copyright LingoHut.com 723058
Necessitem una taula per a quatre persones
Rudia kwa sauti
2/16
Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili
© Copyright LingoHut.com 723058
Voldria reservar una taula per a dos
Rudia kwa sauti
3/16
Naweza kuona menyu?
© Copyright LingoHut.com 723058
Puc veure el menú?
Rudia kwa sauti
4/16
Unapendekeza nini?
© Copyright LingoHut.com 723058
Què em recomanes?
Rudia kwa sauti
5/16
Ni pamoja na nini?
© Copyright LingoHut.com 723058
Què inclou?
Rudia kwa sauti
6/16
Je, inakuja pamoja na saladi?
© Copyright LingoHut.com 723058
Ve amb una amanida?
Rudia kwa sauti
7/16
Supu ya leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 723058
Quina és la sopa del dia?
Rudia kwa sauti
8/16
Chakula maalum cha leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 723058
Quins són els plats especials del dia?
Rudia kwa sauti
9/16
Ungependa kula nini?
© Copyright LingoHut.com 723058
Què t'agradaria menjar?
Rudia kwa sauti
10/16
Kitindamlo cha siku
© Copyright LingoHut.com 723058
Les postres del dia
Rudia kwa sauti
11/16
Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji
© Copyright LingoHut.com 723058
M'agradaria provar un plat regional
Rudia kwa sauti
12/16
Una nyama gani?
© Copyright LingoHut.com 723058
Quin tipus de carn tens?
Rudia kwa sauti
13/16
Nahitaji kitambaa
© Copyright LingoHut.com 723058
Necessito un tovalló
Rudia kwa sauti
14/16
Unaweza kunipa maji zaidi?
© Copyright LingoHut.com 723058
Em pots portar una mica més d'aigua?
Rudia kwa sauti
15/16
Unaweza kunipa chumvi?
© Copyright LingoHut.com 723058
Pots passar-me la sal?
Rudia kwa sauti
16/16
Unaweza kuniletea matunda?
© Copyright LingoHut.com 723058
Em pots portar fruita?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording