Jifunze Kibulgaria :: Somo la 106 Mahojiano ya kazi
Misamiati ya Kibulgaria
Unatamkaje kwa Kibulgaria Je, unatoa bima ya afya?; Ndiyo, baada ya miezi sita ya kufanya kazi hapa; Je, una kibali cha kufanya kazi?; Nina kibali cha kufanya kazi; Sina kibali cha kufanya kazi; Unaweza kuanza lini?; Ninalipa dola kumi kwa saa; Ninalipa yuro kumi za Ulaya kwa saa; Nitakulipa kwa wiki; Kwa mwezi; Una mapumziko Jumamosi na Jumapili; Utavaa sare;
1/12
Je, unatoa bima ya afya?
© Copyright LingoHut.com 722968
Предлагате ли здравна застраховка? (predlagate li zdravna zastrahovka)
Rudia kwa sauti
2/12
Ndiyo, baada ya miezi sita ya kufanya kazi hapa
© Copyright LingoHut.com 722968
Да, след шест месеца работа тук (da, sled shest meseca rabota tuk)
Rudia kwa sauti
3/12
Je, una kibali cha kufanya kazi?
© Copyright LingoHut.com 722968
Имате ли разрешително за работа? (imate li razreshitelno za rabota)
Rudia kwa sauti
4/12
Nina kibali cha kufanya kazi
© Copyright LingoHut.com 722968
Имам разрешително за работа (imam razreshitelno za rabota)
Rudia kwa sauti
5/12
Sina kibali cha kufanya kazi
© Copyright LingoHut.com 722968
Нямам разрешително за работа (njamam razreshitelno za rabota)
Rudia kwa sauti
6/12
Unaweza kuanza lini?
© Copyright LingoHut.com 722968
Кога можете да започнете? (koga mozhete da zapochnete)
Rudia kwa sauti
7/12
Ninalipa dola kumi kwa saa
© Copyright LingoHut.com 722968
Плащам десет долара на час (plashtam deset dolara na chas)
Rudia kwa sauti
8/12
Ninalipa yuro kumi za Ulaya kwa saa
© Copyright LingoHut.com 722968
Плащам десет евро на час (plashtam deset evro na chas)
Rudia kwa sauti
9/12
Nitakulipa kwa wiki
© Copyright LingoHut.com 722968
Ще ви плащам всяка седмица (shte vi plashtam vsjaka sedmica)
Rudia kwa sauti
10/12
Kwa mwezi
© Copyright LingoHut.com 722968
На месец (na mesec)
Rudia kwa sauti
11/12
Una mapumziko Jumamosi na Jumapili
© Copyright LingoHut.com 722968
Събота и неделя са почивни (s"bota i nedelja sa pochivni)
Rudia kwa sauti
12/12
Utavaa sare
© Copyright LingoHut.com 722968
Вие трябва да носите униформа (vie trjabva da nosite uniforma)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording