Jifunze Kibulgaria :: Somo la 97 Kukodisha hoteli
Misamiati ya Kibulgaria
Unatamkaje kwa Kibulgaria Chumba cha hoteli; Nimehifadhi nafasi; Sina rizavu; Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?; Je, naweza kuona chumba?; Inagharimu ngapi kwa usiku?; Inagharimu ngapi kwa wiki?; Nitakaa kwa wiki tatu; Tuko hapa kwa wiki mbili; Mimi ni mgeni; Tunahitaji funguo 3; Lifti iko wapi?; Je, chumba kina kitanda kikubwa?; Je, kina bafu binafsi?; Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari;
1/15
Chumba cha hoteli
© Copyright LingoHut.com 722959
Хотелска стая (hotelska staja)
Rudia kwa sauti
2/15
Nimehifadhi nafasi
© Copyright LingoHut.com 722959
Имам резервация (imam rezervacija)
Rudia kwa sauti
3/15
Sina rizavu
© Copyright LingoHut.com 722959
Аз нямам резервация (az njamam rezervacija)
Rudia kwa sauti
4/15
Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?
© Copyright LingoHut.com 722959
Имате ли свободни стаи? (imate li svobodni stai)
Rudia kwa sauti
5/15
Je, naweza kuona chumba?
© Copyright LingoHut.com 722959
Мога ли да видя стаята? (moga li da vidja stajata)
Rudia kwa sauti
6/15
Inagharimu ngapi kwa usiku?
© Copyright LingoHut.com 722959
Колко е цената за една нощ? (kolko e cenata za edna nosht)
Rudia kwa sauti
7/15
Inagharimu ngapi kwa wiki?
© Copyright LingoHut.com 722959
Колко е цената за една седмица? (kolko e cenata za edna sedmica)
Rudia kwa sauti
8/15
Nitakaa kwa wiki tatu
© Copyright LingoHut.com 722959
Аз ще остана в продължение на три седмици (az shte ostana v prod"lzhenie na tri sedmici)
Rudia kwa sauti
9/15
Tuko hapa kwa wiki mbili
© Copyright LingoHut.com 722959
Ние сме тук за две седмици (nie sme tuk za dve sedmici)
Rudia kwa sauti
10/15
Mimi ni mgeni
© Copyright LingoHut.com 722959
Аз съм гост (az s"m gost)
Rudia kwa sauti
11/15
Tunahitaji funguo 3
© Copyright LingoHut.com 722959
Имаме нужда от 3 ключа (imame nuzhda ot 3 kljucha)
Rudia kwa sauti
12/15
Lifti iko wapi?
© Copyright LingoHut.com 722959
Къде е асансьора? (k"de e asansyora)
Rudia kwa sauti
13/15
Je, chumba kina kitanda kikubwa?
© Copyright LingoHut.com 722959
Стаята има ли двойно легло? (stajata ima li dvojno leglo)
Rudia kwa sauti
14/15
Je, kina bafu binafsi?
© Copyright LingoHut.com 722959
Имат ли самостоятелен санитарен възел? (imat li samostojatelen sanitaren v"zel)
Rudia kwa sauti
15/15
Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari
© Copyright LingoHut.com 722959
Бихме искали да имат изглед към океана (bihme iskali da imat izgled k"m okeana)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording