Jifunze Kibulgaria :: Somo la 71 Kwenye mkahawa
Misamiati ya Kibulgaria
Unatamkaje kwa Kibulgaria Tunahitaji meza ya watu wanne; Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili; Naweza kuona menyu?; Unapendekeza nini?; Ni pamoja na nini?; Je, inakuja pamoja na saladi?; Supu ya leo ni gani?; Chakula maalum cha leo ni gani?; Ungependa kula nini?; Kitindamlo cha siku; Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji; Una nyama gani?; Nahitaji kitambaa; Unaweza kunipa maji zaidi?; Unaweza kunipa chumvi?; Unaweza kuniletea matunda?;
1/16
Tunahitaji meza ya watu wanne
© Copyright LingoHut.com 722933
Ние се нуждаем от маса за четирима (nie se nuzhdaem ot masa za chetirima)
Rudia kwa sauti
2/16
Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili
© Copyright LingoHut.com 722933
Бих искал да резервирам маса за двама (bih iskal da rezerviram masa za dvama)
Rudia kwa sauti
3/16
Naweza kuona menyu?
© Copyright LingoHut.com 722933
Може ли да видя менюто? (mozhe li da vidja menjuto)
Rudia kwa sauti
4/16
Unapendekeza nini?
© Copyright LingoHut.com 722933
Какво ще препоръчате? (kakvo shte prepor"chate)
Rudia kwa sauti
5/16
Ni pamoja na nini?
© Copyright LingoHut.com 722933
Какво е включено? (kakvo e vkljucheno)
Rudia kwa sauti
6/16
Je, inakuja pamoja na saladi?
© Copyright LingoHut.com 722933
Идва ли със салата? (idva li s"s salata)
Rudia kwa sauti
7/16
Supu ya leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 722933
Каква е супата на деня? (kakva e supata na denja)
Rudia kwa sauti
8/16
Chakula maalum cha leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 722933
Какви са специалитетите за днес? (kakvi sa specialitetite za dnes)
Rudia kwa sauti
9/16
Ungependa kula nini?
© Copyright LingoHut.com 722933
Какво бихте искали да ядете? (kakvo bihte iskali da jadete)
Rudia kwa sauti
10/16
Kitindamlo cha siku
© Copyright LingoHut.com 722933
Десерт за деня (desert za denja)
Rudia kwa sauti
11/16
Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji
© Copyright LingoHut.com 722933
Бих искал да опитам местно ястие (bih iskal da opitam mestno jastie)
Rudia kwa sauti
12/16
Una nyama gani?
© Copyright LingoHut.com 722933
Какъв вид месо имате? (kak"v vid meso imate)
Rudia kwa sauti
13/16
Nahitaji kitambaa
© Copyright LingoHut.com 722933
Имам нужда от салфетка (imam nuzhda ot salfetka)
Rudia kwa sauti
14/16
Unaweza kunipa maji zaidi?
© Copyright LingoHut.com 722933
Бихте ли ми дали още малко вода? (bihte li mi dali oshte malko voda)
Rudia kwa sauti
15/16
Unaweza kunipa chumvi?
© Copyright LingoHut.com 722933
Можеш ли да ми подадеш солта? (mozhesh li da mi podadesh solta)
Rudia kwa sauti
16/16
Unaweza kuniletea matunda?
© Copyright LingoHut.com 722933
Бихте ли ми донесли плодове? (bihte li mi donesli plodove)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording