Jifunze Kibulgaria :: Somo la 58 Kujadiliana bei
Misamiati ya Kibulgaria
Unatamkaje kwa Kibulgaria Ni bei gani?; Ni ghali sana; Je, una kitu chochote kwa bei nafuu?; Je, unaweza kufungia kama zawadi, tafadhali?; Ninataka mkufu; Kuna mapunguzo yoyote ya bei?; Je, unaweza kuinishikilia?; Ningependa kubadilishana hii; Je, naweza kuirudisha?; Mbovu; Imevunjika;
1/11
Ni bei gani?
© Copyright LingoHut.com 722920
Колко струва? (kolko struva)
Rudia kwa sauti
2/11
Ni ghali sana
© Copyright LingoHut.com 722920
Това е твърде скъпо (tova e tv"rde sk"po)
Rudia kwa sauti
3/11
Je, una kitu chochote kwa bei nafuu?
© Copyright LingoHut.com 722920
Имате ли нещо по-евтино? (imate li neshto po-evtino)
Rudia kwa sauti
4/11
Je, unaweza kufungia kama zawadi, tafadhali?
© Copyright LingoHut.com 722920
Можете ли да го опаковате като подарък, моля? (mozhete li da go opakovate kato podar"k, molja)
Rudia kwa sauti
5/11
Ninataka mkufu
© Copyright LingoHut.com 722920
Търся огърлица (t"rsja og"rlica)
Rudia kwa sauti
6/11
Kuna mapunguzo yoyote ya bei?
© Copyright LingoHut.com 722920
Има ли някакви продажби? (ima li njakakvi prodazhbi)
Rudia kwa sauti
7/11
Je, unaweza kuinishikilia?
© Copyright LingoHut.com 722920
Можете ли да го запазите за мен? (mozhete li da go zapazite za men)
Rudia kwa sauti
8/11
Ningependa kubadilishana hii
© Copyright LingoHut.com 722920
Бих искал да обменя тази (bih iskal da obmenja tazi)
Rudia kwa sauti
9/11
Je, naweza kuirudisha?
© Copyright LingoHut.com 722920
Мога ли да го върна? (moga li da go v"rna)
Rudia kwa sauti
10/11
Mbovu
© Copyright LingoHut.com 722920
Дефектен (defekten)
Rudia kwa sauti
11/11
Imevunjika
© Copyright LingoHut.com 722920
Счупен (schupen)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording