Jifunze Kibelarusi :: Somo la 105 Maombi ya kazi
Misamiati ya Kibelarusi
Unatamkaje kwa Kibelarusi Natafuta kazi; Je, naweza kuona ufupisho wako?; Huu ni ufupisho wangu; Je, kuna wadhamini naweza kuwasiliana nao?; Hii ni orodha ya wadhamini wangu; Una uzoefu wa kiasi gani?; Umekuwa ukifanya kazi katika uwanja huu kwa muda gani?; Miaka 3; Mimi ni mhitimu wa shule ya sekondari; Mimi ni mhitimu wa chuo; Natafuta kazi ya muda maalumu; Ningependa kufanya kazi ya kudumu;
1/12
Natafuta kazi
© Copyright LingoHut.com 722842
Я шукаю працу
Rudia kwa sauti
2/12
Je, naweza kuona ufupisho wako?
© Copyright LingoHut.com 722842
Ці магу я ўбачыць Ваша рэзюмэ?
Rudia kwa sauti
3/12
Huu ni ufupisho wangu
© Copyright LingoHut.com 722842
Вось маё рэзюмэ
Rudia kwa sauti
4/12
Je, kuna wadhamini naweza kuwasiliana nao?
© Copyright LingoHut.com 722842
Ці ёсць каардынаты папярэдніх работадаўцаў, куды я магу звярнуцца для атрымання рэкамендацый?
Rudia kwa sauti
5/12
Hii ni orodha ya wadhamini wangu
© Copyright LingoHut.com 722842
Вось спіс каардынатаў папярэдніх работадаўцаў
Rudia kwa sauti
6/12
Una uzoefu wa kiasi gani?
© Copyright LingoHut.com 722842
Які ў Вас вопыт?
Rudia kwa sauti
7/12
Umekuwa ukifanya kazi katika uwanja huu kwa muda gani?
© Copyright LingoHut.com 722842
Як даўно Вы працуеце ў гэтай галіне?
Rudia kwa sauti
8/12
Miaka 3
© Copyright LingoHut.com 722842
3 гады
Rudia kwa sauti
9/12
Mimi ni mhitimu wa shule ya sekondari
© Copyright LingoHut.com 722842
Я выпускнік універсітэта
Rudia kwa sauti
10/12
Mimi ni mhitimu wa chuo
© Copyright LingoHut.com 722842
Я выпускнік каледжа
Rudia kwa sauti
11/12
Natafuta kazi ya muda maalumu
© Copyright LingoHut.com 722842
Шукаю працу на няпоўны працоўны дзень
Rudia kwa sauti
12/12
Ningependa kufanya kazi ya kudumu
© Copyright LingoHut.com 722842
Я хацеў бы працаваць поўны працоўны дзень
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording