Jifunze Kibelarusi :: Somo la 98 Kukodisha chumba au Airbnb
Misamiati ya Kibelarusi
Unatamkaje kwa Kibelarusi Je, kina vitanda 2?; Je, mna huduma ya chumba?; Je, una mgahawa?; Je, ni pamoja na chakula?; Je, mna bwawa?; Bwawa liko wapi?; Tunahitaji taulo za bwawa; Je, unaweza kuniletea mto mwingine?; Chumba chetu haikikusafishwa; Chumba hakina blanketi zozote; Nahitaji kuongea na meneja; Hakuna maji moto; Sipendi chumba hiki; Manyunyu hayafanyi kazi; Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi;
1/15
Je, kina vitanda 2?
© Copyright LingoHut.com 722835
У ім 2 ложкі?
Rudia kwa sauti
2/15
Je, mna huduma ya chumba?
© Copyright LingoHut.com 722835
Ці ёсць у вас абслугоўванне ў нумары?
Rudia kwa sauti
3/15
Je, una mgahawa?
© Copyright LingoHut.com 722835
Ці ёсць у Вас у рэстаран?
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ni pamoja na chakula?
© Copyright LingoHut.com 722835
Ці харчаванне ўключана?
Rudia kwa sauti
5/15
Je, mna bwawa?
© Copyright LingoHut.com 722835
Ці ёсць у Вас басейн?
Rudia kwa sauti
6/15
Bwawa liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 722835
Дзе басейн?
Rudia kwa sauti
7/15
Tunahitaji taulo za bwawa
© Copyright LingoHut.com 722835
Нам патрэбныя ручнікі для басейна
Rudia kwa sauti
8/15
Je, unaweza kuniletea mto mwingine?
© Copyright LingoHut.com 722835
Ці можаце Вы прынесці мне яшчэ адну падушку?
Rudia kwa sauti
9/15
Chumba chetu haikikusafishwa
© Copyright LingoHut.com 722835
Наш нумар не быў прыбраны
Rudia kwa sauti
10/15
Chumba hakina blanketi zozote
© Copyright LingoHut.com 722835
У нумары няма ніводнай коўдры
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji kuongea na meneja
© Copyright LingoHut.com 722835
Мне трэба пагаварыць з менеджарам
Rudia kwa sauti
12/15
Hakuna maji moto
© Copyright LingoHut.com 722835
Тут няма гарачай вады
Rudia kwa sauti
13/15
Sipendi chumba hiki
© Copyright LingoHut.com 722835
Мне не падабаецца гэты нумар
Rudia kwa sauti
14/15
Manyunyu hayafanyi kazi
© Copyright LingoHut.com 722835
Душ не працуе
Rudia kwa sauti
15/15
Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi
© Copyright LingoHut.com 722835
Нам патрэбны нумар з кандыцыянерам
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording