Jifunze Kiamenia :: Somo la 90 Daktari: mimi ni mgonjwa
Misamiati ya Kiamenia
Unatamkaje kwa Kiamenia Sijisikii vizuri; Mimi ni mgonjwa; Ninaumwa tumbo; Ninaumwa kichwa; Nasikia kichefuchefu; Nina mzio; Nina tumbo la kuendesha; Nina kizunguzungu; Nina kipandauso; Nilikuwa na homa tangu jana; Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu; Sina shinikizo la damu; Mimi ni mjamzito; Nina upele; Je, hali ni mbaya sana?;
1/15
Sijisikii vizuri
© Copyright LingoHut.com 722702
Ես ինձ լավ չեմ զգում (Es inj lav čem zgowm)
Rudia kwa sauti
2/15
Mimi ni mgonjwa
© Copyright LingoHut.com 722702
Ես հիվանդ եմ (Es hivand em)
Rudia kwa sauti
3/15
Ninaumwa tumbo
© Copyright LingoHut.com 722702
Ստամոքսս ցավում է (Stamok̕ss c̕avowm ē)
Rudia kwa sauti
4/15
Ninaumwa kichwa
© Copyright LingoHut.com 722702
Գլխացավ ունեմ (Glxac̕av ownem)
Rudia kwa sauti
5/15
Nasikia kichefuchefu
© Copyright LingoHut.com 722702
Սրտխառնոց եմ զգում (Srtxaṙnoc̕ em zgowm)
Rudia kwa sauti
6/15
Nina mzio
© Copyright LingoHut.com 722702
Ալերգիա ունեմ (Alergia ownem)
Rudia kwa sauti
7/15
Nina tumbo la kuendesha
© Copyright LingoHut.com 722702
Ես փորլուծություն ունեմ (Es p̕orlowçowt̕yown ownem)
Rudia kwa sauti
8/15
Nina kizunguzungu
© Copyright LingoHut.com 722702
Ես գլխապտույտ ունեմ (Es glxaptowyt ownem)
Rudia kwa sauti
9/15
Nina kipandauso
© Copyright LingoHut.com 722702
Ես միգրեն ունեմ (Es migren ownem)
Rudia kwa sauti
10/15
Nilikuwa na homa tangu jana
© Copyright LingoHut.com 722702
Երեկվանից ջերմում եմ (Erekvanic̕ ǰermowm em)
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu
© Copyright LingoHut.com 722702
Ինձ ցավազրկող դեղ է պետք (Inj c̕avazrkoġ deġ ē petk̕)
Rudia kwa sauti
12/15
Sina shinikizo la damu
© Copyright LingoHut.com 722702
Ես արյան բարձր ճնշում չունեմ (Es aryan barjr č̣nšowm čownem)
Rudia kwa sauti
13/15
Mimi ni mjamzito
© Copyright LingoHut.com 722702
Ես հղի եմ (Es hġi em)
Rudia kwa sauti
14/15
Nina upele
© Copyright LingoHut.com 722702
Ես ցան ունեմ (Es c̕an ownem)
Rudia kwa sauti
15/15
Je, hali ni mbaya sana?
© Copyright LingoHut.com 722702
Արդյո՞ք դա լուրջ է: (Ardyok̕ da lowrǰ ē:)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording