Jifunze Kiamenia :: Somo la 71 Kwenye mkahawa
Misamiati ya Kiamenia
Unatamkaje kwa Kiamenia Tunahitaji meza ya watu wanne; Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili; Naweza kuona menyu?; Unapendekeza nini?; Ni pamoja na nini?; Je, inakuja pamoja na saladi?; Supu ya leo ni gani?; Chakula maalum cha leo ni gani?; Ungependa kula nini?; Kitindamlo cha siku; Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji; Una nyama gani?; Nahitaji kitambaa; Unaweza kunipa maji zaidi?; Unaweza kunipa chumvi?; Unaweza kuniletea matunda?;
1/16
Tunahitaji meza ya watu wanne
© Copyright LingoHut.com 722683
Մեզ պետք է սեղան չորս հոգու համար (Mez petk̕ ē seġan čors hogow hamar)
Rudia kwa sauti
2/16
Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili
© Copyright LingoHut.com 722683
Կցանկանայի սեղան ամրագրել երկուսի համար (Kc̕ankanayi seġan amragrel erkowsi hamar)
Rudia kwa sauti
3/16
Naweza kuona menyu?
© Copyright LingoHut.com 722683
Կարո՞ղ եմ տեսնել մենյուն (Karoġ em tesnel menyown)
Rudia kwa sauti
4/16
Unapendekeza nini?
© Copyright LingoHut.com 722683
Ի՞նչ խորհուրդ կտաք (Inč xorhowrd ktak̕)
Rudia kwa sauti
5/16
Ni pamoja na nini?
© Copyright LingoHut.com 722683
Ի՞նչ է ներառված (Inč ē neraṙvaç)
Rudia kwa sauti
6/16
Je, inakuja pamoja na saladi?
© Copyright LingoHut.com 722683
Դա աղցանի հե՞տ է մատուցվում (Da aġc̕ani het ē matowc̕vowm)
Rudia kwa sauti
7/16
Supu ya leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 722683
Ո՞րն է օրվա ապուրը (Orn ē òrva apowrë)
Rudia kwa sauti
8/16
Chakula maalum cha leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 722683
Որոնք են այսօրվա հատուկ առաջարկները (Oronk̕ en aysòrva hatowk aṙaǰarknerë)
Rudia kwa sauti
9/16
Ungependa kula nini?
© Copyright LingoHut.com 722683
Ի՞նչ կցանկանայիք ուտել (Inč kc̕ankanayik̕ owtel)
Rudia kwa sauti
10/16
Kitindamlo cha siku
© Copyright LingoHut.com 722683
Օրվա աղանդերը (Òrva aġanderë)
Rudia kwa sauti
11/16
Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji
© Copyright LingoHut.com 722683
Ես կցանկանայի փորձել տարածաշրջանի ճաշատեսակներից (Es kc̕ankanayi p̕orjel taraçašrǰani č̣ašatesakneric̕)
Rudia kwa sauti
12/16
Una nyama gani?
© Copyright LingoHut.com 722683
Ի՞նչ տեսակի միս ունեք (Inč tesaki mis ownek̕)
Rudia kwa sauti
13/16
Nahitaji kitambaa
© Copyright LingoHut.com 722683
Ինձ անձեռոցիկ է պետք (Inj anjeṙoc̕ik ē petk̕)
Rudia kwa sauti
14/16
Unaweza kunipa maji zaidi?
© Copyright LingoHut.com 722683
Կարո՞ղ եք ինձ մի քիչ էլ ջուր տալ: (Karoġ ek̕ inj mi k̕ič ēl ǰowr tal:)
Rudia kwa sauti
15/16
Unaweza kunipa chumvi?
© Copyright LingoHut.com 722683
Կարո՞ղ եք ինձ փոխանցել աղը (Karoġ ek̕ inj p̕oxanc̕el aġë)
Rudia kwa sauti
16/16
Unaweza kuniletea matunda?
© Copyright LingoHut.com 722683
Կարո՞ղ եք միրգ բերել (Karoġ ek̕ mirg berel)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording