Jifunze Kiarabu :: Somo la 106 Mahojiano ya kazi
Misamiati ya Kiarabu
Unatamkaje kwa Kiarabu Je, unatoa bima ya afya?; Ndiyo, baada ya miezi sita ya kufanya kazi hapa; Je, una kibali cha kufanya kazi?; Nina kibali cha kufanya kazi; Sina kibali cha kufanya kazi; Unaweza kuanza lini?; Ninalipa dola kumi kwa saa; Ninalipa yuro kumi za Ulaya kwa saa; Nitakulipa kwa wiki; Kwa mwezi; Una mapumziko Jumamosi na Jumapili; Utavaa sare;
1/12
Je, unatoa bima ya afya?
© Copyright LingoHut.com 722593
هل تقدمون تأمينًا صحيًا؟ (hl tqdmūn tʾamīnnā ṣḥīًā)
Rudia kwa sauti
2/12
Ndiyo, baada ya miezi sita ya kufanya kazi hapa
© Copyright LingoHut.com 722593
نعم، بعد ستة أشهر من الانتظام بالعمل (nʿm, bʿd stẗ ašhr mn al-āntẓām bālʿml)
Rudia kwa sauti
3/12
Je, una kibali cha kufanya kazi?
© Copyright LingoHut.com 722593
هل لديك تصريح عمل؟ (hl ldīk tṣrīḥ ʿml)
Rudia kwa sauti
4/12
Nina kibali cha kufanya kazi
© Copyright LingoHut.com 722593
لدي تصريح العمل (ldī tṣrīḥ al-ʿml)
Rudia kwa sauti
5/12
Sina kibali cha kufanya kazi
© Copyright LingoHut.com 722593
ليس لدي تصريح العمل (līs ldī tṣrīḥ al-ʿml)
Rudia kwa sauti
6/12
Unaweza kuanza lini?
© Copyright LingoHut.com 722593
متى يمكنك بدء العمل؟ (mti īmknk bdʾ al-ʿml)
Rudia kwa sauti
7/12
Ninalipa dola kumi kwa saa
© Copyright LingoHut.com 722593
أنا أدفع عشرة دولارات في الساعة (anā adfʿ ʿšrẗ dūlārāt fī al-sāʿẗ)
Rudia kwa sauti
8/12
Ninalipa yuro kumi za Ulaya kwa saa
© Copyright LingoHut.com 722593
أنا أدفع عشرة يورو في الساعة (anā adfʿ ʿšrẗ īūrū fī al-sāʿẗ)
Rudia kwa sauti
9/12
Nitakulipa kwa wiki
© Copyright LingoHut.com 722593
سأدفع لك راتبك أسبوعيًا (sʾadfʿ lk rātbk asbūʿīًā)
Rudia kwa sauti
10/12
Kwa mwezi
© Copyright LingoHut.com 722593
شهريًا (šhrīًā)
Rudia kwa sauti
11/12
Una mapumziko Jumamosi na Jumapili
© Copyright LingoHut.com 722593
لديك أيام السبت والأحد إجازة (ldīk aīām al-sbt wālʾaḥd iǧāzẗ)
Rudia kwa sauti
12/12
Utavaa sare
© Copyright LingoHut.com 722593
يجب عليك ارتداء الزي الموحد (īǧb ʿlīk artdāʾ al-zī al-mūḥd)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording