Jifunze Kiarabu :: Somo la 98 Kukodisha chumba au Airbnb
Misamiati ya Kiarabu
Unatamkaje kwa Kiarabu Je, kina vitanda 2?; Je, mna huduma ya chumba?; Je, una mgahawa?; Je, ni pamoja na chakula?; Je, mna bwawa?; Bwawa liko wapi?; Tunahitaji taulo za bwawa; Je, unaweza kuniletea mto mwingine?; Chumba chetu haikikusafishwa; Chumba hakina blanketi zozote; Nahitaji kuongea na meneja; Hakuna maji moto; Sipendi chumba hiki; Manyunyu hayafanyi kazi; Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi;
1/15
Je, kina vitanda 2?
© Copyright LingoHut.com 722585
هل يوجد سريران بالغرفة؟ (hl īūǧd srīrān bālġrfẗ)
Rudia kwa sauti
2/15
Je, mna huduma ya chumba?
© Copyright LingoHut.com 722585
هل لديكم خدمة غرف؟ (hl ldīkm ẖdmẗ ġrf)
Rudia kwa sauti
3/15
Je, una mgahawa?
© Copyright LingoHut.com 722585
هل لديكم مطعم؟ (hl ldīkm mṭʿm)
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ni pamoja na chakula?
© Copyright LingoHut.com 722585
هل يشمل إيجار الغرفة الوجبات؟ (hl īšml īǧār al-ġrfẗ al-ūǧbāt)
Rudia kwa sauti
5/15
Je, mna bwawa?
© Copyright LingoHut.com 722585
هل لديكم حمام سباحة؟ (hl ldīkm ḥmām sbāḥẗ)
Rudia kwa sauti
6/15
Bwawa liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 722585
أين حمام السباحة؟ (aīn ḥmām al-sbāḥẗ)
Rudia kwa sauti
7/15
Tunahitaji taulo za bwawa
© Copyright LingoHut.com 722585
نحن نحتاج مناشف لحمام السباحة (nḥn nḥtāǧ mnāšf lḥmām al-sbāḥẗ)
Rudia kwa sauti
8/15
Je, unaweza kuniletea mto mwingine?
© Copyright LingoHut.com 722585
هل يمكنك أن تحضر لي وسادة أخرى؟ (hl īmknk an tḥḍr lī ūsādẗ aẖri)
Rudia kwa sauti
9/15
Chumba chetu haikikusafishwa
© Copyright LingoHut.com 722585
لم يتم تنظيف الغرفة (lm ītm tnẓīf al-ġrfẗ)
Rudia kwa sauti
10/15
Chumba hakina blanketi zozote
© Copyright LingoHut.com 722585
لا يوجد أي بطانية بالغرفة (lā īūǧd aī bṭānīẗ bālġrfẗ)
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji kuongea na meneja
© Copyright LingoHut.com 722585
أنا بحاجة للحديث مع المدير (anā bḥāǧẗ llḥdīṯ mʿ al-mdīr)
Rudia kwa sauti
12/15
Hakuna maji moto
© Copyright LingoHut.com 722585
لا يوجد ماء ساخن (lā īūǧd māʾ sāẖn)
Rudia kwa sauti
13/15
Sipendi chumba hiki
© Copyright LingoHut.com 722585
لا تعجبني هذه الغرفة (lā tʿǧbnī hḏh al-ġrfẗ)
Rudia kwa sauti
14/15
Manyunyu hayafanyi kazi
© Copyright LingoHut.com 722585
الدش لا يعمل (al-dš lā īʿml)
Rudia kwa sauti
15/15
Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi
© Copyright LingoHut.com 722585
نحن نحتاج غرفة مُكيفة (nḥn nḥtāǧ ġrfẗ mukīfẗ)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording