Jifunze Kiarabu :: Somo la 97 Kukodisha hoteli
Misamiati ya Kiarabu
Unatamkaje kwa Kiarabu Chumba cha hoteli; Nimehifadhi nafasi; Sina rizavu; Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?; Je, naweza kuona chumba?; Inagharimu ngapi kwa usiku?; Inagharimu ngapi kwa wiki?; Nitakaa kwa wiki tatu; Tuko hapa kwa wiki mbili; Mimi ni mgeni; Tunahitaji funguo 3; Lifti iko wapi?; Je, chumba kina kitanda kikubwa?; Je, kina bafu binafsi?; Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari;
1/15
Chumba cha hoteli
© Copyright LingoHut.com 722584
غرفة الفندق (ġrfẗ al-fndq)
Rudia kwa sauti
2/15
Nimehifadhi nafasi
© Copyright LingoHut.com 722584
لديَّ حجز مسبق (ldīwa ḥǧz msbq)
Rudia kwa sauti
3/15
Sina rizavu
© Copyright LingoHut.com 722584
ليس لدي حجز مُسبق (līs ldī ḥǧz musbq)
Rudia kwa sauti
4/15
Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?
© Copyright LingoHut.com 722584
هل لديكم غرفة متوفرة؟ (hl ldīkm ġrfẗ mtūfrẗ)
Rudia kwa sauti
5/15
Je, naweza kuona chumba?
© Copyright LingoHut.com 722584
هل يمكنني أن أرى الغرفة؟ (hl īmknnī an ari al-ġrfẗ)
Rudia kwa sauti
6/15
Inagharimu ngapi kwa usiku?
© Copyright LingoHut.com 722584
كم تكلفة الإقامة لليلة واحدة؟ (km tklfẗ al-iqāmẗ llīlẗ wāḥdẗ)
Rudia kwa sauti
7/15
Inagharimu ngapi kwa wiki?
© Copyright LingoHut.com 722584
كم تكلف الإقامة للأسبوع؟ (km tklf al-iqāmẗ llʾasbūʿ)
Rudia kwa sauti
8/15
Nitakaa kwa wiki tatu
© Copyright LingoHut.com 722584
سوف أقيم لمدة ثلاثة أسابيع (sūf aqīm lmdẗ ṯlāṯẗ asābīʿ)
Rudia kwa sauti
9/15
Tuko hapa kwa wiki mbili
© Copyright LingoHut.com 722584
نحن هنا لمدة أسبوعين (nḥn hnā lmdẗ asbūʿīn)
Rudia kwa sauti
10/15
Mimi ni mgeni
© Copyright LingoHut.com 722584
أنا نزيل بالفندق (anā nzīl bālfndq)
Rudia kwa sauti
11/15
Tunahitaji funguo 3
© Copyright LingoHut.com 722584
نحن نحتاج ثلاثة مفاتيح (nḥn nḥtāǧ ṯlāṯẗ mfātīḥ)
Rudia kwa sauti
12/15
Lifti iko wapi?
© Copyright LingoHut.com 722584
أين يوجد المصعد؟ (aīn īūǧd al-mṣʿd)
Rudia kwa sauti
13/15
Je, chumba kina kitanda kikubwa?
© Copyright LingoHut.com 722584
هل تحتوي الغرفة على سرير مزدوج (hl tḥtwy al-ġrfẗ ʿli srīr mzdūǧ)
Rudia kwa sauti
14/15
Je, kina bafu binafsi?
© Copyright LingoHut.com 722584
هل يوجد بالغرفة حمام خاص؟ (hl īūǧd bālġrfẗ ḥmām ẖāṣ)
Rudia kwa sauti
15/15
Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari
© Copyright LingoHut.com 722584
نود أن تكون الغرفة مُطلة على المحيط (nūd an tkūn al-ġrfẗ muṭlẗ ʿli al-mḥīṭ)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording