Jifunze Kiarabu :: Somo la 57 Kununua kwa nguo
Misamiati ya Kiarabu
Unatamkaje kwa Kiarabu Naweza kujipima?; Wapi chumba kubadilisha?; Kubwa; Ya kati; Ndogo; Navaa saizi kubwa; Je, una saizi kubwa zaidi?; Je, una saizi ndogo zaidi?; Hii inabana sana; Inanifaa vizuri; Napenda hii shati; Unauza makoti ya mvua?; Unaweza kunionyesha baadhi ya mashati?; Rangi hainipendezi; Je, unayo katika rangi nyingine?; Ni wapi naweza kupata nguo ya kuogelea?; Unaweza kunionyesha saa?;
1/17
Naweza kujipima?
© Copyright LingoHut.com 722544
هل يمكنني ارتداؤه وتجربته؟ (hl īmknnī artdāuʾh ūtǧrbth)
Rudia kwa sauti
2/17
Wapi chumba kubadilisha?
© Copyright LingoHut.com 722544
أين غرفة تغيير الملابس؟ (aīn ġrfẗ tġyir al-mlābs)
Rudia kwa sauti
3/17
Kubwa
© Copyright LingoHut.com 722544
كبير (kbīr)
Rudia kwa sauti
4/17
Ya kati
© Copyright LingoHut.com 722544
متوسط (mtūsṭ)
Rudia kwa sauti
5/17
Ndogo
© Copyright LingoHut.com 722544
صغير (ṣġīr)
Rudia kwa sauti
6/17
Navaa saizi kubwa
© Copyright LingoHut.com 722544
أنا ارتدي مقاسًا كبيرًا (anā artdī mqāssā kbīrrā)
Rudia kwa sauti
7/17
Je, una saizi kubwa zaidi?
© Copyright LingoHut.com 722544
هل لديك مقاس أكبر؟ (hl ldīk mqās akbr)
Rudia kwa sauti
8/17
Je, una saizi ndogo zaidi?
© Copyright LingoHut.com 722544
هل لديك مقاس أصغر؟ (hl ldīk mqās aṣġr)
Rudia kwa sauti
9/17
Hii inabana sana
© Copyright LingoHut.com 722544
هذا ضيق جدًا (hḏā ḍīq ǧddā)
Rudia kwa sauti
10/17
Inanifaa vizuri
© Copyright LingoHut.com 722544
يناسبني جدًا (īnāsbnī ǧddā)
Rudia kwa sauti
11/17
Napenda hii shati
© Copyright LingoHut.com 722544
يعجبني هذا القميص (īʿǧbnī hḏā al-qmīṣ)
Rudia kwa sauti
12/17
Unauza makoti ya mvua?
© Copyright LingoHut.com 722544
هل تبيع معاطف للمطر؟ (hl tbīʿ mʿāṭf llmṭr)
Rudia kwa sauti
13/17
Unaweza kunionyesha baadhi ya mashati?
© Copyright LingoHut.com 722544
هل يمكنك أن تعرض لي بعض القمصان؟ (hl īmknk an tʿrḍ lī bʿḍ al-qmṣān)
Rudia kwa sauti
14/17
Rangi hainipendezi
© Copyright LingoHut.com 722544
اللون لا يناسبني (al-lūn lā īnāsbnī)
Rudia kwa sauti
15/17
Je, unayo katika rangi nyingine?
© Copyright LingoHut.com 722544
هل لديك الموديل نفسه بلون آخر؟ (hl ldīk al-mūdīl nfsh blūn aẖr)
Rudia kwa sauti
16/17
Ni wapi naweza kupata nguo ya kuogelea?
© Copyright LingoHut.com 722544
أين يمكنني أن أجد ثوب سباحة؟ (aīn īmknnī an aǧd ṯūb sbāḥẗ)
Rudia kwa sauti
17/17
Unaweza kunionyesha saa?
© Copyright LingoHut.com 722544
هل يمكنك أن تريني الساعة؟ (hl īmknk an trīnī al-sāʿẗ)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording