Jifunze Kiarabu :: Somo la 27 Shughuli za pwani
Misamiati ya Kiarabu
Unatamkaje kwa Kiarabu Kuota jua; Neli ya hewa ya mzamia; Kutumia neli ya hewa; Je, ufukwe una mchanga?; Je, ni salama kwa watoto?; Je, tunaweza kuogelea hapa?; Je, ni salama kuogelea hapa?; Je, kuna mkondo wa chini wenye hatari?; Je, bamvua inatokea saa ngapi?; Je, maji kupwa yanatokea saa ngapi?; Je, kuna mkondo wa nguvu?; Naenda kwa matembezi; Je, tunaweza kupiga mbizi hapa bila hatari?; Ninawezaje kufika kwenye kisiwa?; Je, kuna mashua ambayo inaweza kutuchukua huko?;
1/15
Kuota jua
© Copyright LingoHut.com 722514
يأخذ حمام شمس (īʾaẖḏ ḥmām šms)
Rudia kwa sauti
2/15
Neli ya hewa ya mzamia
© Copyright LingoHut.com 722514
أنبوبة تنفس للغوص (anbūbẗ tnfs llġūṣ)
Rudia kwa sauti
3/15
Kutumia neli ya hewa
© Copyright LingoHut.com 722514
الغوص باستخدام أنبوبة تنفس (al-ġūṣ bāstẖdām anbūbẗ tnfs)
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ufukwe una mchanga?
© Copyright LingoHut.com 722514
هل هذا الشاطئ رملي؟ (hl hḏā al-šāṭʾi rmlī)
Rudia kwa sauti
5/15
Je, ni salama kwa watoto?
© Copyright LingoHut.com 722514
هل هذا الشاطئ آمن للأطفال؟ (hl hḏā al-šāṭʾi amn llʾaṭfāl)
Rudia kwa sauti
6/15
Je, tunaweza kuogelea hapa?
© Copyright LingoHut.com 722514
يمكننا السباحة هنا؟ (īmknnā al-sbāḥẗ hnā)
Rudia kwa sauti
7/15
Je, ni salama kuogelea hapa?
© Copyright LingoHut.com 722514
هل هو آمن للسباحة هنا؟ (hl hū amn llsbāḥẗ hnā)
Rudia kwa sauti
8/15
Je, kuna mkondo wa chini wenye hatari?
© Copyright LingoHut.com 722514
هل هناك تيارات خطرة تحت الماء؟ (hl hnāk tīārāt ẖṭrẗ tḥt al-māʾ)
Rudia kwa sauti
9/15
Je, bamvua inatokea saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 722514
متى يحين المد العالي؟ (mti īḥīn al-md al-ʿālī)
Rudia kwa sauti
10/15
Je, maji kupwa yanatokea saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 722514
ما توقيت حدوث الجزر؟ (mā tūqīt ḥdūṯ al-ǧzr)
Rudia kwa sauti
11/15
Je, kuna mkondo wa nguvu?
© Copyright LingoHut.com 722514
هل هناك تيار قوي؟ (hl hnāk tīār qwy)
Rudia kwa sauti
12/15
Naenda kwa matembezi
© Copyright LingoHut.com 722514
أنا ذاهب في نزهة على الأقدام (anā ḏāhb fī nzhẗ ʿli al-ʾaqdām)
Rudia kwa sauti
13/15
Je, tunaweza kupiga mbizi hapa bila hatari?
© Copyright LingoHut.com 722514
هل يمكننا الغوص هنا دون التعرض للخطر؟ (hl īmknnā al-ġūṣ hnā dūn al-tʿrḍ llẖṭr)
Rudia kwa sauti
14/15
Ninawezaje kufika kwenye kisiwa?
© Copyright LingoHut.com 722514
كيف يمكنني الوصول إلى الجزيرة؟ (kīf īmknnī al-ūṣūl ili al-ǧzīrẗ)
Rudia kwa sauti
15/15
Je, kuna mashua ambayo inaweza kutuchukua huko?
© Copyright LingoHut.com 722514
هل هناك قارب يمكن أن يأخذنا هناك؟ (hl hnāk qārb īmkn an īʾaẖḏnā hnāk)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording