Jifunze Kiafrikana :: Somo la 90 Daktari: mimi ni mgonjwa
Misamiati ya Kiafrikana
Unatamkaje kwa Kiafrikana? Sijisikii vizuri; Mimi ni mgonjwa; Ninaumwa tumbo; Ninaumwa kichwa; Nasikia kichefuchefu; Nina mzio; Nina tumbo la kuendesha; Nina kizunguzungu; Nina kipandauso; Nilikuwa na homa tangu jana; Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu; Sina shinikizo la damu; Mimi ni mjamzito; Nina upele; Je, hali ni mbaya sana?;
1/15
Sijisikii vizuri
© Copyright LingoHut.com 722452
Ek voel nie goed nie
Rudia kwa sauti
2/15
Mimi ni mgonjwa
© Copyright LingoHut.com 722452
Ek is siek
Rudia kwa sauti
3/15
Ninaumwa tumbo
© Copyright LingoHut.com 722452
Ek het maagpyn
Rudia kwa sauti
4/15
Ninaumwa kichwa
© Copyright LingoHut.com 722452
Ek het hoofpyn
Rudia kwa sauti
5/15
Nasikia kichefuchefu
© Copyright LingoHut.com 722452
Ek voel naar
Rudia kwa sauti
6/15
Nina mzio
© Copyright LingoHut.com 722452
Ek is allergies
Rudia kwa sauti
7/15
Nina tumbo la kuendesha
© Copyright LingoHut.com 722452
Ek het diarhee
Rudia kwa sauti
8/15
Nina kizunguzungu
© Copyright LingoHut.com 722452
Ek is duiselig
Rudia kwa sauti
9/15
Nina kipandauso
© Copyright LingoHut.com 722452
Ek het skeelhoofpyn
Rudia kwa sauti
10/15
Nilikuwa na homa tangu jana
© Copyright LingoHut.com 722452
Ek is sedert gister koorsig
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu
© Copyright LingoHut.com 722452
Ek het medisyne vir die pyn nodig
Rudia kwa sauti
12/15
Sina shinikizo la damu
© Copyright LingoHut.com 722452
Ek het nie hoë bloeddruk nie
Rudia kwa sauti
13/15
Mimi ni mjamzito
© Copyright LingoHut.com 722452
Ek is swanger
Rudia kwa sauti
14/15
Nina upele
© Copyright LingoHut.com 722452
Ek het 'n uitslag
Rudia kwa sauti
15/15
Je, hali ni mbaya sana?
© Copyright LingoHut.com 722452
Is dit ernstig?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording