Jifunze Kiafrikana :: Somo la 71 Kwenye mkahawa
Misamiati ya Kiafrikana
Unatamkaje kwa Kiafrikana? Tunahitaji meza ya watu wanne; Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili; Naweza kuona menyu?; Unapendekeza nini?; Ni pamoja na nini?; Je, inakuja pamoja na saladi?; Supu ya leo ni gani?; Chakula maalum cha leo ni gani?; Ungependa kula nini?; Kitindamlo cha siku; Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji; Una nyama gani?; Nahitaji kitambaa; Unaweza kunipa maji zaidi?; Unaweza kunipa chumvi?; Unaweza kuniletea matunda?;
1/16
Tunahitaji meza ya watu wanne
© Copyright LingoHut.com 722433
Ons wil 'n tafel vir vier hê
Rudia kwa sauti
2/16
Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili
© Copyright LingoHut.com 722433
Ek wil graag 'n tafel vir twee bespreek
Rudia kwa sauti
3/16
Naweza kuona menyu?
© Copyright LingoHut.com 722433
Kan ek die spyskaart sien?
Rudia kwa sauti
4/16
Unapendekeza nini?
© Copyright LingoHut.com 722433
Wat beveel jy aan?
Rudia kwa sauti
5/16
Ni pamoja na nini?
© Copyright LingoHut.com 722433
Wat is ingesluit?
Rudia kwa sauti
6/16
Je, inakuja pamoja na saladi?
© Copyright LingoHut.com 722433
Word dit bedien met 'n slaai?
Rudia kwa sauti
7/16
Supu ya leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 722433
Wat is die sop van die dag?
Rudia kwa sauti
8/16
Chakula maalum cha leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 722433
Wat is vandag se spesiale aanbiedings?
Rudia kwa sauti
9/16
Ungependa kula nini?
© Copyright LingoHut.com 722433
Wat wil jy graag hê om te eet?
Rudia kwa sauti
10/16
Kitindamlo cha siku
© Copyright LingoHut.com 722433
Die nagereg van die dag
Rudia kwa sauti
11/16
Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji
© Copyright LingoHut.com 722433
Ek wil graag proe hoe smaak 'n streeksgereg
Rudia kwa sauti
12/16
Una nyama gani?
© Copyright LingoHut.com 722433
Watter soort vleis het julle?
Rudia kwa sauti
13/16
Nahitaji kitambaa
© Copyright LingoHut.com 722433
Ek het 'n servet nodig
Rudia kwa sauti
14/16
Unaweza kunipa maji zaidi?
© Copyright LingoHut.com 722433
Kan jy my nog 'n bietjie meer water gee?
Rudia kwa sauti
15/16
Unaweza kunipa chumvi?
© Copyright LingoHut.com 722433
Kan jy my die sout aangee?
Rudia kwa sauti
16/16
Unaweza kuniletea matunda?
© Copyright LingoHut.com 722433
Kan jy vir my vrugte bring?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording