Jifunze Kialbania :: Somo la 71 Kwenye mkahawa
Misamiati ya Kialbania
Unatamkaje kwa Kialbania Tunahitaji meza ya watu wanne; Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili; Naweza kuona menyu?; Unapendekeza nini?; Ni pamoja na nini?; Je, inakuja pamoja na saladi?; Supu ya leo ni gani?; Chakula maalum cha leo ni gani?; Ungependa kula nini?; Kitindamlo cha siku; Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji; Una nyama gani?; Nahitaji kitambaa; Unaweza kunipa maji zaidi?; Unaweza kunipa chumvi?; Unaweza kuniletea matunda?;
1/16
Tunahitaji meza ya watu wanne
© Copyright LingoHut.com 722308
Ne kemi nevojë për një tavolinë për katër
Rudia kwa sauti
2/16
Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili
© Copyright LingoHut.com 722308
Unë do të doja të rezervoja një tavolinë për dy
Rudia kwa sauti
3/16
Naweza kuona menyu?
© Copyright LingoHut.com 722308
Mund ta shoh menynë?
Rudia kwa sauti
4/16
Unapendekeza nini?
© Copyright LingoHut.com 722308
Çfarë rekomandoni?
Rudia kwa sauti
5/16
Ni pamoja na nini?
© Copyright LingoHut.com 722308
Çfarë është përfshirë?
Rudia kwa sauti
6/16
Je, inakuja pamoja na saladi?
© Copyright LingoHut.com 722308
A shoqërohet me sallatë?
Rudia kwa sauti
7/16
Supu ya leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 722308
Cila është supa e ditës?
Rudia kwa sauti
8/16
Chakula maalum cha leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 722308
Cilat janë specialet e sotme?
Rudia kwa sauti
9/16
Ungependa kula nini?
© Copyright LingoHut.com 722308
Çfarë do t'ju pëlqente për të ngrënë?
Rudia kwa sauti
10/16
Kitindamlo cha siku
© Copyright LingoHut.com 722308
Ëmbëlsira e ditës
Rudia kwa sauti
11/16
Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji
© Copyright LingoHut.com 722308
Unë do të doja të provoja një gjellë rajonale
Rudia kwa sauti
12/16
Una nyama gani?
© Copyright LingoHut.com 722308
Çfarë lloj mishi keni?
Rudia kwa sauti
13/16
Nahitaji kitambaa
© Copyright LingoHut.com 722308
Më duhet një pecetë
Rudia kwa sauti
14/16
Unaweza kunipa maji zaidi?
© Copyright LingoHut.com 722308
Mund të më jepni ujë?
Rudia kwa sauti
15/16
Unaweza kunipa chumvi?
© Copyright LingoHut.com 722308
A mund të ma jepni kripën?
Rudia kwa sauti
16/16
Unaweza kuniletea matunda?
© Copyright LingoHut.com 722308
Ju mund të sillni fruta?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording