Mafunzo ya msamiati Kadi za mafunzo Mchezo wa kulinganisha Mchezo wa Tic-tac-toe Mchezo wa umakinifu Mchezo wa kusikiliza

Kiingereza :: Somo 43 Safari: Mizigo yangu iko wapi?

Msamiati

Eneo la kudai mizigo
Baggage claim area
Mkanda wa kuchukulia
Conveyor belt
Mkokoteni wa mizigo
Baggage cart
Tiketi ya kudai mizigo
Baggage claim ticket
Mizigo iliyopotea
Lost baggage
Iliyopotea na iliyopatikana
Lost and found
Bawabu
Porter
Lifti
Elevator
Ujia unaosonga
Moving walkway
Mlango wa kuingia
Entrance
Mlango wa kutoka
Exit
Mbadilishano ya fedha
Money exchange
Kituo cha basi
Bus stop
Gari la kukodisha
Car rental