Mafunzo ya msamiati Kadi za mafunzo Mchezo wa kulinganisha Mchezo wa Tic-tac-toe Mchezo wa umakinifu Mchezo wa kusikiliza

Kiitaliano :: Somo 1 Anza: Jambo

Msamiati

Hujambo
Ciao
Habari ya asubuhi
Buon giorno
Habari ya mchana
Buon pomeriggio
Habari ya jioni
Buona sera
Usiku mwema
Buona notte
Habari gani?
Come stai?
Nzuri, asante
Bene, grazie
Na wewe?
E tu?
Karibu
Benvenuto
Ni siku nzuri
È una bella giornata
Uwe na siku njema
Buona giornata
Kwaheri
Arrivederci
Tutaonana baadaye
A dopo
Tutaonana kesho
A domani
Samahani (wakati unakutana na mtu fulani)
Scusa
Naweza kukusaidia?
Serve aiuto?