Mafunzo ya msamiati Kadi za mafunzo Mchezo wa kulinganisha Mchezo wa Tic-tac-toe Mchezo wa umakinifu Mchezo wa kusikiliza

Kirusi :: Somo 90 Likizo: Wanyama wa pori

Msamiati

Kuna vyura wengi hapa
Здесь много лягушек
Bata
Утка
Je, wale ni mbuzi?
Это козлы?
Je, kasuku anaweza kuongea?
Этот попугай умеет говорить?
Kasa
Черепаха
Tumbili
Обезьяна
Je, nyoka ana sumu?
Это ядовитая змея?
Ng'ombe
Корова
Mjusi
Ящерица
Kipanya
Мышь
Mamba
Крокодил